Kina Nani wanaorudisha pesa za EPA?

Mpaka Kieleweke

JF-Expert Member
Feb 27, 2007
4,132
1,571
Kwa masikitiko makubwa sana nashindwa kuamini kile kinachoendelea kwenye taifa hili eti kuna mtu ama watu wanaweza kutuibia mabilioni ya pesa na kisha wakigundulika wanaambia warudishe na hakuna hatua zinachukuliwa wala hata kuwataja ni nani hao inakuwa jinai.

nitaweka mifano michache kama ilivyoripotiwa na vyombo vya habari juu ya watanzania hawa walivyofanywa kwa kosa la wizi.

1.Mkazi wa Dar alifungwa jela kwa kuwatoroka Askari polisi, na alikuwa anashtakiwa kwa kumdhalilisha mtu, basi akafungwa miezi 6. (Mwananchi 32/2/2008)

2.Kondakta afikishwa polisi na kutozwa faini baada yakukosa sare za kazi(kulikoni 25/2/2008

3.Afungwa miaka 30 kwa kupatikana na hatia ya wizi wa sh 250,000/= (mwananchi 2/2/2008

4.Mkazi wa Buguruni atinga mahakamani kwa wizi wa cherehani, wakati huo huo mkazi wa kiwalani amefikishwa mahakamani kwa kujipatia kilo 250 za mchele kwa udanganyifu (mwananchi 21/1/2008)

Ukiangalia mtiririko wa matukio hapo juu unaweza kujiuliza kama mtu anaiba mchele , mwingine anaiba mabilioni hata hafikishwi ama kuhojiwa na polisi huku ni kututukana watanzania.

Mwalimu Nyerere aliwahi kusema , namnukuu Fikra nzito hazifi kwa urahisi hivyo, zinabaki zikikera na kila jamii ya binadamu katika historia inajipalia makaa kwa kuzipuuza fikra hizo” (Mwalimu Nyerere 22/10/1987).
 
Tujiulize kiasi Kidogo maswali haya? Hawa walioonekana kuwa wanahatia walitajwa majina, wakalipishwa faini, lakini suala la pesa za EPA watu hawatajwi, wanarudisha kwa utaratibu ambao hatuuambiwi, hayo yote ni siri. Hii imenisababisha nifikiri kuwa Mahakama zetu labda ni za watu wanaoiba pesa ndogo tu, ukiiba nyingi unarudisha kama ulikuwa umekopa tena bila faini, zaidi ya hayo unapewa heshima na kutunziwa siri hata jina lako halitajwi.
 
Tuna mfumo wa ubaguzi wa sheria ambayo naona unapply kwa wakubwa na watu wadogo kitofauti!

Angalia hata leo Ditto aliua mtu na yupo na anafanya biashara kuuza asali na JK anaona kwa vile ni rafiki yake ni poa tu!

Nachoweza kusema.. Tz ukiiba kuku ni lazima utafungwa tu ndugu yangu!
 
Tuna mfumo wa ubaguzi wa sheria ...wa wakubwa na watu wadogo!

Angalia hata leo Zito aliua mtu na yupo na anafanya biashara kuuza asali na JK anaona kwa vile ni rafiki yake ni poa tu!

Nachoweza kusema.. Tz ukiiba kuku ni lazima utafungwa tu ndugu yangu!

We mzalendo mbona unaanza kutushtua wengine tena. Ila hilo unalosema mpaka kieleweke ni hoja nzito sana ambayo kimsingi ni hoja ya kisheria.
 
Mzalendo halisi .
naamini kuwa unamaanisha DITTO na sio Zito, kwani najua kuwa Ditto ndio anafanya biashara ya asali na kuendelea kupeta japo kamuua kijana wa kitanzania , na kosa la huyo kijana ni kuwa hana fedha na kazaliwa familia ya kimasikini .......

Hilo linaonyesha jinsi ambavyo sheria za nchi hii zilivyo za ajabu kuwa ukifanikiwa kuiba mabilioni ya pesa huwezi kupata shida , cha muhimu ni kuhakikisha kuwa wewe unafanya biashara zako na kuhakikisha kuwa siku wakijua utatakiwa kuzirudisha tena kwa hiari yako na kwa muda wako binafsi na tena bila hata ya kudaiwa riba.

Na pindi ukianza kurudisha watawala wataanza kukusifu na kukupigia makofii kuwa wewe ni muungwana na wengine watataka kuanzisha maandamano ya kukupongeza kuwa wewe ni shujaa kwani umeweza kurudisha fedha za wizi.

Kama hili ndilo taifa ambalo linajengwa siku sio nyingi kila mtu atakuwa anachukua sheria mkononi kwani kama tajiri akikudhulumu na wewe ni masikini basi itakubidi umshughulikie wewe mwenyewe kwani ukimpeleka kwenye vyombo vya dola hakuna kitakachofanyika juu yake kwani anazo pesa hata kama ni za kifisadi.

Kuna haja ya kuamsha watanzania , na kama ni kweli kuwa jela zetu hazina hadhi ya kuweza kuwafunga hawa basi wananchi naamini kuwa kwenye hili wakihamasishwa kuwa wajitolee kutoa michango kwa ajili ya kujenga magereza ya mafisadi basi kila mmoja wetu atakuwa tayari kujitolea . mbona tunajitolea sana kujenga mashule, zahanati n.k.

Hima wananchi wenzangu sasa tuanzishe mchango maalumu kwa ajili ya kujenga jela za mafisadi ili waweze kupelekwa huko kwani zilizopo haziwafai vigogo na mafisadi.
 
Tujiulize kiasi Kidogo maswali haya? Hawa walioonekana kuwa wanahatia walitajwa majina, wakalipishwa faini, lakini suala la pesa za EPA watu hawatajwi, wanarudisha kwa utaratibu ambao hatuuambiwi, hayo yote ni siri. Hii imenisababisha nifikiri kuwa Mahakama zetu labda ni za watu wanaoiba pesa ndogo tu, ukiiba nyingi unarudisha kama ulikuwa umekopa tena bila faini, zaidi ya hayo unapewa heshima na kutunziwa siri hata jina lako halitajwi.

Habari zinazovuja zinaonyesha kuwa hakuna yeyote anayerudisha pesa ila serikali itatumia makusanyo ya kodi kuonyesha kuwa ni pesa zimerudishwa. Kuna mtu alimsifia Kikwete kuwa ni mtoto wa mjini na alivaa viatu kabla Lowasa hajaona taa za umeme, na sasa nimeanza kuamini hii statement (ingawa pia inachekesha sana).

Kuna usanii mkubwa sana unafanyika hapa na masikini watanzania ndio mwishowe wataumia katika hili.
 
sikubaliani na huu uvumi kabisa. The main reason being the donors ambao wanatubeba kibajeti, ndio nchi hizo hizo zenye haya mabenki makubwa yaliyotumika kuficha hizo hela. Hawawezi kukubali kudanganywa na serikali ya Tanzania. Hatutopewa senti 5. IMF wasinge ridhika juzi kati hapo kama fedha zingekua hazirudi. The financial world is more complicated than that, sio swala la serikali kurudishia tu hela... haiwezekani.
 
Hapa kuna mchezo mchafu, ni kuwa inawezekana vipi pesa mabilioni zikawa zinarudishwa kwa njia ya cash?

Lazima kujiuliza maswali magumu zaidi na kutafakari kwa kina zaidi, Hao IMF kukubali sio kwamba wameona ukweli ila wamejua kuwa JK na serikali yake inaweza kuangamia na kulwe kuwasifia kukawa ni uvundfo hivyuo na wao wanajiingiza ili kuweza ku rescue the situation.
 
inaonekana ndugu yangu huna clue jinsi IMF inavyofanya kazi. Hii IMF na dada yake WB wapo kwenye mission kuhakikisha kuwa nchi masikini zinaendelea kuwa masikini ili ziendelee kukopa kutoka nchi tajiri.

Sahau kabisa sifa za IMF kama kigezo kuwa kazi inafanyika hapo Tanzania.
 
Kwa masikitiko makubwa sana nashindwa kuamini kile kinachoendelea kwenye taifa hili eti kuna mtu ama watu wanaweza kutuibia mabilioni ya pesa na kisha wakigundulika wanaambia warudishe na hakuna hatua zinachukuliwa wala hata kuwataja ni nani hao inakuwa jinai.

nitaweka mifano michache kama ilivyoripotiwa na vyombo vya habari juu ya watanzania hawa walivyofanywa kwa kosa la wizi.

1.Mkazi wa Dar alifungwa jela kwa kuwatoroka Askari polisi, na alikuwa anashtakiwa kwa kumdhalilisha mtu, basi akafungwa miezi 6. (Mwananchi 32/2/2008)

2.Kondakta afikishwa polisi na kutozwa faini baada yakukosa sare za kazi(kulikoni 25/2/2008

3.Afungwa miaka 30 kwa kupatikana na hatia ya wizi wa sh 250,000/= (mwananchi 2/2/2008

4.Mkazi wa Buguruni atinga mahakamani kwa wizi wa cherehani, wakati huo huo mkazi wa kiwalani amefikishwa mahakamani kwa kujipatia kilo 250 za mchele kwa udanganyifu (mwananchi 21/1/2008)

Ukiangalia mtiririko wa matukio hapo juu unaweza kujiuliza kama mtu anaiba mchele , mwingine anaiba mabilioni hata hafikishwi ama kuhojiwa na polisi huku ni kututukana watanzania.

Mwalimu Nyerere aliwahi kusema , namnukuu Fikra nzito hazifi kwa urahisi hivyo, zinabaki zikikera na kila jamii ya binadamu katika historia inajipalia makaa kwa kuzipuuza fikra hizo" (Mwalimu Nyerere 22/10/1987).

Tusimsahau Mbwa Immigration (R.I.P) aliyehukumiwa kifo kwa kudhalilisha wakubwa! Hukumu ikatekelezwa mara moja.
 
2008-03-04 10:00:42
By Lydia Shekighenda

The government has said it will give the names of all companies and
individuals linked to the much-publicised theft of 133 billion/- from the
Bank of Tanzania`s external payments account (EPA) in 2005 once the
exercise of recovering the money is completed.

Finance and Economic Affairs Minister Mustafa Mkullo told The Guardian
yesterday that the procedures used in recovering the money are not
confidential, adding: ``Everything will be made public once we are
satisfied that we are through with the exercise.``

The minister called for patience and understanding from members of the
public, saying that would allow the government time to continue with its
efforts to get all the money in question back.

``There is no way the Government can hide anything from wananchi because
it is their money. However, we cannot disclose the tactics we are using
because we may end up getting nothing,`` he explained.

According to Mkullo, the team appointed by President Jakaya Kikwete to
probe the scam involving the 133bn/- had opted for that approach in the
belief that it was the best way of recovering the money.

He said the completion of the recovery exercise would be followed by the
publication of all those who had heeded the Government`s call to return
the money, complete with the amount recovered.

``People should not misunderstand what we are doing. We are not needlessly
keeping anything secret. All we are doing is meant to avoid unnecessary
interference and to make sure that the Government gets all the money
back,`` he pointed out.

He revealed that the pace of the (recovery) exercise had progressed well,
with sizeable amounts returned just before his exclusive interview with
this paper in Dar es Salaam yesterday.

Last Friday, the Government announced that it had recovered more than
50bn/- but Mkullo flatly declined to give the names of the companies or
individuals that had paid up.

An audit report prepared by Ernst and Young showed that controversial
payments amounting to 133,015,186,220.74/- were dubiously made to 22
Tanzanian firms, some of them phantom ones, from the EPA account.

A total of 90,359,078,804/- out of this was paid to 13 local firms based
on fake and forged documentation, while some of the payees had no
supporting documentation.

The government announcement has generated an avalanche of queries from the
public, with some questioning the rationale of hiding the names of those
behind the scam and the efficiency of the mechanism used in recovering the
money.

The minister`s assurance might help to allay widespread fears that the
government could ultimately just decide to call a news conference and give
vague details on the recovery exercise.

Some prominent lawyers and politicians have expressed unqualified
reservations over the possibility of those proved to be behind the scam
escaping only with the ``minor injury`` of repaying the amounts they owe
the public.

Some have called stiffer additional punishment, including legal action and
ensuring that the amounts recovered are inclusive of cumulative interest.

Asked about the government`s decision to hide the identity of those behind
the 133bn/- theft scandal, which has sent shockwaves throughout Tanzania
and beyond, Legal and Human Rights Centre Director Hellen Kijo-Bisimba
said: ``I wonder where the money they are paying back is coming from in
the first place. Who is returning it and why now?``

Kijo-Bisimba said the government was duty-bound to tell the public whether
the money being returned was part of the 133bn/- stolen or was being given
to the government as a present.

``How can we be sure that the money stolen has actually been returned?
Someone could just tell us that a certain amount has been recovered while
in fact nothing has been returned. We can never prove it, can we?�
she queried.

She said it was of fundamental importance for the government to publish
the names of all those returning the money and tell the public the exact
legal measures to be taken against them after the recovery exercise.

``The government should not keep the issue secret because the public wants
to know precisely what is going on. Let them be open and transparent,``
noted the LHRC head.

Prof Mwesiga Baregu from the University of Dar es Salaam, meanwhile, said
the whole affair was shrouded in mist, suspicion and mystery.

``It is shocking because, as far we are concerned, there is a process that
oversees all activities at the central bank. I don`t think what has
happened abides by the bank`s own regulations,`` he observed.

He added: ``It looks like any amount of money could easily and quietly
disappear from the bank and soon as easily and quietly return. There are a
lot of unanswered questions and the public must be told how much money is
returned and who has returned it.``

The political science guru said the onus was on the government to give to
the public the full details of what was going on instead of maintaining a
semblance of dignified silence.

``It is unacceptable to let things go on the way they are. We deserve
convincing explanation on the matter. They should explain to us why they
are keeping silent and whether, under our laws, that is the only option to
recover money stolen from public coffers,`` said Prof Baregu.

SOURCE: Guardian
 
Tuna mfumo wa ubaguzi wa sheria ambayo naona unapply kwa wakubwa na watu wadogo kitofauti!

Angalia hata leo Ditto aliua mtu na yupo na anafanya biashara kuuza asali na JK anaona kwa vile ni rafiki yake ni poa tu!

Nachoweza kusema.. Tz ukiiba kuku ni lazima utafungwa tu ndugu yangu!
Taarifa hapo juu ni sahihi ni Ditto yaani Ditopile ndiye aliyeua wakati huo alikwenda Dar kwa safari binafsi kutoka Tabora alipokuwa Mkuu wa Mkoa huo, gari lake likakwaruzwa na bus alilokuwa akiendesha Mohamed Mbonde Ditto akateremka kwenye Prado lake na kwenda kumtaka dereva ateremke kwenye bus lake badala yake dereva akafunga vioo na ndipo Ditto akampiga risasi kwa bastola yake. Lakini Zitto ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini kwa hiyo tuwe waangalifu tunapochangia Mheshimia Zitto Kabwe na Ndugu Ditto au Ditopile ni watu wawili tofauti kabisa
 
Waungwana naomba tusikimbilie kwenye conclusion. Mh. Mkulo (aka MBA fake) amesema kwamba alitereza kusema hatawataja wahusika, amethibitisha juzi alipohojiwa na Nipashe. So, we believe mpaka sasa wamepromise wata wataja wezi.

Mwafrika wa Kike.
Don't condemed Bank Kuu au IMF, hizi ni organization zinazo jiendeshe kwa kukopesha. IMF na World Bank hazikuanzishwa 1940's ili kusaidia third world nation, hii ilitokea tuu baada ya Dollar/gold pegging failed.

World Bank and IMF wana set goals zao, i don't agree with everything from IMF and world Bank. One thing i gree with them ni stong standings walizonazo.

Tanzania government will spends some more time kwenye kukusanya pesa zote, sababu kuna kitu kinaitwa offshore accounts, hizi accounts zinatumia code na sio majina, so it is not two days job. Tanzania government haina uwezo wa kutrack money laundaring sababu hakuna equipments. So, let wait and not speculate things kwani it is too early kujump on conclusion.
 
Habari zinazovuja zinaonyesha kuwa hakuna yeyote anayerudisha pesa ila serikali itatumia makusanyo ya kodi kuonyesha kuwa ni pesa zimerudishwa. Kuna mtu alimsifia Kikwete kuwa ni mtoto wa mjini na alivaa viatu kabla Lowasa hajaona taa za umeme, na sasa nimeanza kuamini hii statement (ingawa pia inachekesha sana).

Kuna usanii mkubwa sana unafanyika hapa na masikini watanzania ndio mwishowe wataumia katika hili.

Kama Mkulo atabisha hili na atoe majina na kiwango walichorudisha.
Na kama anafake ajue dawa yake ni hapahapa JF. Ukweli hauko mabali.
 
Hapa kuna mchezo mchafu, ni kuwa inawezekana vipi pesa mabilioni zikawa zinarudishwa kwa njia ya cash?

Lazima kujiuliza maswali magumu zaidi na kutafakari kwa kina zaidi, Hao IMF kukubali sio kwamba wameona ukweli ila wamejua kuwa JK na serikali yake inaweza kuangamia na kulwe kuwasifia kukawa ni uvundfo hivyuo na wao wanajiingiza ili kuweza ku rescue the situation.

Maswali ni mengi kuliko majibu. Nchi hii kuna watu wako juu ya sheria na hilo halipingiki. Hawa IMF ni miongoni mwa wezi wakubwa wa dunia hii,angalia riba wanayokusanya toka kwenye mikopo wanayotoa kwenye nchi masikini,is almost the same money they give out as loans to developing countries,si wizi huu. Hatuhitaji IMF kutafakari sheria za nchi hii,kubwa wenye nchi tunahitaji kujua nani kachota fedha zetu kwa kutumia nyaraka za kughushi na amechukuliwa hatua gani,pale mahakama ya kisutu
 
sikubaliani na huu uvumi kabisa. The main reason being the donors ambao wanatubeba kibajeti, ndio nchi hizo hizo zenye haya mabenki makubwa yaliyotumika kuficha hizo hela. Hawawezi kukubali kudanganywa na serikali ya Tanzania. Hatutopewa senti 5. IMF wasinge ridhika juzi kati hapo kama fedha zingekua hazirudi. The financial world is more complicated than that, sio swala la serikali kurudishia tu hela... haiwezekani.

Kinyambiss,

Mambo mengine yaliyokwisha-tokea TZ ni makubwa zaidi na magumu kuamini kuliko hili ambalo Mkulo na sextary wake wanaweza wakadanganya taifa na kutengeneza documents nzuri tu za kuwaonyesha hao wafadhili.

Fikiria, kama nchi nzima iliweza kuwa gizani kwa miezi kadhaa na kupoteza mabilioni na wahusika wakuu wa hilo giza ndio hao hao wakuu wa serikali, hili la kurudisha pesa si ni mtoto kabisa ukilinganisha?

Au, Kama Balali aliweza kuiba mamilioni na baada ya kufichuliwa JK hakumfukuza kazi bali alimuongezea wasaidizi hadharani hata wafadhili wakashangaa, hili la kurudisha 'PesaMaandishi' bado si ni mtoto?

Kwa kifupi ni kuwa kwenye hii serikali ya wasanii na ushoga ya JK, upupu wowote wa kitoto unawezekana hata kama ni vigumu kuamini kuwa watu wazima wenye ndevu kila mahali wanaweza fanya hayo yasemwayo.
 
ni kweli nakubaliana na wazo kuwachochote chaweza kutokea Tanzania... lakini... JK alitangaza kuwa maagizo yake ni kwamba serikali itarudisha pesa, then itawa prosecute wahusika wote... This is what i want to c.kwanza... wafunguliwe mashtaka ya fraud, conspiracy to defraud, money laundering, theft, tax evasion... HAPO ndio tutajua kama kuna lolote.. Its very likely kuwa hamna kitakacho endelea.. lakini bila mashtaka hata kama yakuzugia...wazungu hawawezi KUTUCHUNIA ALAFU WATUPE HELA TUU TENA.. itabidi wachache wafungwe na wengine wale fine, wafilisiwe.. sasa hapa waliombali na JK ndio watachinjiwa baharini... wale maswahiba watachuniwa kiaina design... tungoje
 
Back
Top Bottom