Che Mkira
Senior Member
- Jul 8, 2014
- 117
- 152
Habari viongozi? Ni muda kitambo nimekuwa nikifuatilia kujua historia ya chuo kikuu cha Dar es salaam kujua watu waliofanya vizuri zaidi katika kitivo kongwe cha sheria. Kwa ufuatiliaji wangu nimebaini waliopata daraja la kwanza (first class) toka shule hiyo inaanzishwa 1961 ni watu 15.
Wa kwanza alipata mwaka 1963 na wa mwisho 1992. Ni kitendawili kingine nilichokutana nacho kujua majina ya waliopata ufaulu huo. Wakati sisi tunamaliza chuoni hapo miaka ya 2004, hakuna mtu yeyote aliyebahatika kuwafahamu. Ni watu watano tu wanaofahamika kati ya hao 15.
1)Prof Aidan Paramagamba Kabudi
2)Dr Ringo William Tenga
3) James Orenga
4) Prof Hamidu Majamba &
5) Dr Asha-Rose Mtengeti Migiro.
Je, wengine 10 ni kina nani? Tuwafahamu!
Sent using Jamii Forums mobile app