Kina Mbowe wakwama mahakamani - Novemba 29, 2021

Barua aliyoandika Ling'wenya kwenda kwa RPC ilala kuomba udhibitisho kwamba alikuwepo central(Hawakuwahi kufikishwa central)
Ndio hajawahi fikishwa Central.Huo ndio ukweli,Ila hata jaji nayeye hapimagi vitu vingine,Onthe sport unamkamata mtu na unamuambia nimekukamata na madawa ya kulevia !! kweli inaingia akilini,,huyo polisi ni mkemia kiasi gani ghafla ajue ni madawa ya kulevia tena aina fulani,,,maaajaaabu
 
Alivyofungwa Sabaya mlifurahi kumbe mkuki kwa nguruwe mtamu kwa mbowe mchungu hivyo hivyo msifurahi wenzenu wanapopatwa na matatizo hata nyie yatawapata mlifurahi kifo cha jpm subirini cha kwenu pia siku zitafika tu
Hivi Sabaya kafungwa kwa sababu Ni mwana CCM ili ahalalishe Wana CHADEMA kufungwa?
Basi Kama Sabaya kafungwa kwa sababu mmembabikizia kesi huo ni uhalifu Kama ulivyo uhalifu kumbambikizia mtu mwingine yeyote.
Lakini Kama Sabaya amepatikana na hatia na jamii ikakubari kuwa Ana hatia Basi hiyo Ni hukumu ya Mungu,imekubarika duniani hata mbiguni.
Hukumu yoyote ikitoka jamii ikaguna maana yake haki haijaonekana kutendeka,hukumu Kama hiyo haki ikishindwa kuonekana duniani basi haikubaelika Hadi mbiguni.
 
Tiganga anataka Batili iwe HAKI. Na baada ya hapo unaishi maisha ya kukosa AMANI. Maana dhamili itamshitaki maisha yake yote.
 
Alivyofungwa Sabaya mlifurahi kumbe mkuki kwa nguruwe mtamu kwa mbowe mchungu hivyo hivyo msifurahi wenzenu wanapopatwa na matatizo hata nyie yatawapata mlifurahi kifo cha jpm subirini cha kwenu pia siku zitafika tu
Kwanini wasifurahi. Mtu kauwa ben saanane na kumpiga Lissu risasi. Nani amsikitikie mtu katili na mwenye roho mbaya. Watu wanajifanya kusikitika kinafki kwa sababu ya uoga.
 
Alivyofungwa Sabaya mlifurahi kumbe mkuki kwa nguruwe mtamu kwa mbowe mchungu hivyo hivyo msifurahi wenzenu wanapopatwa na matatizo hata nyie yatawapata mlifurahi kifo cha jpm subirini cha kwenu pia siku zitafika tu
Pole ndugu SABAYA kahukumiwa kwa kesi na makosa yake.
Keshakata rufaa huku kesi nyingine ikiendelea na yasemekana nyingine tatu/nne kutokana na walioathirika wakati wa ENZI yake, ziko njiani. Waonaje ukitumia hekima uliyojaaliwa na Mungu, ukaacha ushabiki kama wa kwenye mpira. AMEN
 
Mungu hamhukumu mtu kwa kusikiliza chuki na Majungu
"Lakini wale wengine wenye ubinafsi, wenye kukataa mambo ya haki na kufuata uovu, wataangukiwa na ghadhabu na hasira ya Mungu. Mateso na maumivu yatampata binadamu yeyote atendaye uovu". Warumi 2;8-9 AMEN
 
Swali: hiyo barua yenye muhuri wa mahakama ni mali ya mahakama. Siku zote watu wanadhani tundulissu ndiye fundi kuiba nyaraka za mahakama jana alivyoiba barua ya zittokabwe na ya makanikia na zile za ndege yetu kukamatwa Canada. Lakini hapa hana kosa, hakuwepo maana alikuwa ametimua mbiyo kwenda Ubelgiji. Sasa tusema kibatala ndiye mwizi mrithi wake? Kwanza kwa nini aliindika huku huyu hakuwa mreja wake?

Hapa kuna jambo.
tafuteni tu pa kuchomokea lkn mjue mnaelekea kunasa mtalambishwa tu na huyo aji wenu utopolo jifanyeni hamjui kumbe hamjui
 
Back
Top Bottom