valet de chambre
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 931
- 955
Lembrus kazua balaaaaaa! Ule wedi!
Barua aliyoandika Ling'wenya kwenda kwa RPC ilala kuomba udhibitisho kwamba alikuwepo central(Hawakuwahi kufikishwa central)Kipi wamekataa
Ndio hajawahi fikishwa Central.Huo ndio ukweli,Ila hata jaji nayeye hapimagi vitu vingine,Onthe sport unamkamata mtu na unamuambia nimekukamata na madawa ya kulevia !! kweli inaingia akilini,,huyo polisi ni mkemia kiasi gani ghafla ajue ni madawa ya kulevia tena aina fulani,,,maaajaaabuBarua aliyoandika Ling'wenya kwenda kwa RPC ilala kuomba udhibitisho kwamba alikuwepo central(Hawakuwahi kufikishwa central)
Hivi Sabaya kafungwa kwa sababu Ni mwana CCM ili ahalalishe Wana CHADEMA kufungwa?Alivyofungwa Sabaya mlifurahi kumbe mkuki kwa nguruwe mtamu kwa mbowe mchungu hivyo hivyo msifurahi wenzenu wanapopatwa na matatizo hata nyie yatawapata mlifurahi kifo cha jpm subirini cha kwenu pia siku zitafika tu
Waache mapingamizi wanapoteza muda. Kesi ya msingi inachelewa. Wanawaumiza makomando wetuMapingamizi yoooote ya kina kibatala yametupiliwa mbali kwa namna hii hii ya kuleta vielelezo, lakini ya kina kidando yanapewa tick
Kwanini wasifurahi. Mtu kauwa ben saanane na kumpiga Lissu risasi. Nani amsikitikie mtu katili na mwenye roho mbaya. Watu wanajifanya kusikitika kinafki kwa sababu ya uoga.Alivyofungwa Sabaya mlifurahi kumbe mkuki kwa nguruwe mtamu kwa mbowe mchungu hivyo hivyo msifurahi wenzenu wanapopatwa na matatizo hata nyie yatawapata mlifurahi kifo cha jpm subirini cha kwenu pia siku zitafika tu
Pole ndugu SABAYA kahukumiwa kwa kesi na makosa yake.Alivyofungwa Sabaya mlifurahi kumbe mkuki kwa nguruwe mtamu kwa mbowe mchungu hivyo hivyo msifurahi wenzenu wanapopatwa na matatizo hata nyie yatawapata mlifurahi kifo cha jpm subirini cha kwenu pia siku zitafika tu
"Lakini wale wengine wenye ubinafsi, wenye kukataa mambo ya haki na kufuata uovu, wataangukiwa na ghadhabu na hasira ya Mungu. Mateso na maumivu yatampata binadamu yeyote atendaye uovu". Warumi 2;8-9 AMENMungu hamhukumu mtu kwa kusikiliza chuki na Majungu
tafuteni tu pa kuchomokea lkn mjue mnaelekea kunasa mtalambishwa tu na huyo aji wenu utopolo jifanyeni hamjui kumbe hamjuiSwali: hiyo barua yenye muhuri wa mahakama ni mali ya mahakama. Siku zote watu wanadhani tundulissu ndiye fundi kuiba nyaraka za mahakama jana alivyoiba barua ya zittokabwe na ya makanikia na zile za ndege yetu kukamatwa Canada. Lakini hapa hana kosa, hakuwepo maana alikuwa ametimua mbiyo kwenda Ubelgiji. Sasa tusema kibatala ndiye mwizi mrithi wake? Kwanza kwa nini aliindika huku huyu hakuwa mreja wake?
Hapa kuna jambo.