Kina Marealle wanajitangaza sana uchifu! si ulifutwa huu?

Mzizi wa Mbuyu

JF-Expert Member
May 15, 2009
7,323
6,810
Naanza kwa kuwapa pole kwa msiba wanafamilia wa Chifu Marealle, poleni.

Ila nina ujumbe wao huu......
Siku hizi imekuwa taabu jamani, mara kuna mbio za chifu marealle, kumbukumbu maalumu ya chifu marealle chifu, chifu,chifu n.k
Jamani msitutishe na uchifu wenu bwana hata kwetu walikuwepo machifu tena walikuwa wapiganaji kwelikweli,!! lakini hayo yalifutwa yamepita....lakini hawa ndugu zetu wamezidi kuutangaza uchifu wao utadhani nchi hii wao tu ndiyo wametoka kwenye ukoo wa kichifu!!?? kila mtu akisema aanze kuutangaza uchifuchifu wake kama hawa jamaa itakuwa si itakuwa taabu? Sawa tuwakumbuke wazee wetu, lakini si "kiujiko ujiko hivi!"
ACHENI HIZO BANA!!!
 
Machifu walioandikwa kwenye vitabu vya Historia mbona tunawajua...na hawajitangazi!
Hawa wengine wanaotafuta kujulikana we achana nao bana...who cares about them!
 
nampa tano MWM,sure hawa jamaa is too much....utafikiri chifu ni rais wa dunia kila kukicha chifu hivi chifu vile hovyoooo wamefanya dili sasa.
 
Watu wengine hutaka kupata huruma kupitia kwa migongo ya watu wengine. Heri yetu ambao hatuna hayo. Mini ni mimi tu sio baba yangu wala babu.
 
Naanza kwa kuwapa pole kwa msiba wanafamilia wa Chifu Marealle, poleni.

Ila nina ujumbe wao huu......
Siku hizi imekuwa taabu jamani, mara kuna mbio za chifu marealle, kumbukumbu maalumu ya chifu marealle chifu, chifu,chifu n.k
Jamani msitutishe na uchifu wenu bwana hata kwetu walikuwepo machifu tena walikuwa wapiganaji kwelikweli,!! lakini hayo yalifutwa yamepita....lakini hawa ndugu zetu wamezidi kuutangaza uchifu wao utadhani nchi hii wao tu ndiyo wametoka kwenye ukoo wa kichifu!!?? kila mtu akisema aanze kuutangaza uchifuchifu wake kama hawa jamaa itakuwa si itakuwa taabu? Sawa tuwakumbuke wazee wetu, lakini si "kiujiko ujiko hivi!"
ACHENI HIZO BANA!!!

waachieni wakuu! maisha ya bongo ni ujanja ujanja tu, kama hiyo "chifu" inarahisisha mkono kwenda kinywani, so be it. SOON MTASKIA NA MIMI NAJIITA CHIFU KLOROKWINI, maslahi mbele bana! hehehehe
 
Nadhani hawa ma so called" chifu" wana watu wao wanao wakubali hivyo waacheni wawaite "CHIFU". Hawa ni watu katika jamii wasio kubali ukweli kwamba uchifu ulishakufa zamani.
 
It sound like jealous.....maana hata sioni point hapa!!

Jamani watanzania tuna mambo mengi ya kujadili tuache kufuatilia maisha ya watu....Marialle ni ukoo na uchagani unaeleweka ni ukoo wa uchifu...kwani ni uongo si ulikuwa ukoo wa uchifu...sasa kinawauma nini....
 
Chief Abdallah Fundikira
Chief HM Lugusha
Chief David Makwaia
Chief Humbi Ziota
Chief Marealle

Hawa na wengineo waliplay part kuunganisha makabila na kumsupport JKN wakati wa ukugombea Uhuru.
Huwezi kufuta historia yao
 
Hamna mtu amenyimwa kufanya lolote kuwaenzi ancestors wao. Mwanzisha mada wewe pia unaweza kuanzisha mbio, kombe, siku, foundation, shule nk kwa jina la babu au ukoo wenu
 
Hayo yoote ni maandalizi ya Chief Agrey Marealle kumpiga kikumbo Mzee Ndessa Pesa... Ila labda aamue kustaafu ndio labda CCCCCCCCM WATALICHUKUA...
 
Chief Abdallah Fundikira
Chief HM Lugusha
Chief David Makwaia
Chief Humbi Ziota
Chief Marealle

Hawa na wengineo waliplay part kuunganisha makabila na kumsupport JKN wakati wa ukugombea Uhuru.
Huwezi kufuta historia yao

tena afadhali tumkumbuke Kidaha makwaia na abdieli Shangali ambao ndio waafrika wa kwanza kuingia kwenye baraza la kutunga sheria (bunge la wakati huo)
 
Naanza kwa kuwapa pole kwa msiba wanafamilia wa Chifu Marealle, poleni.

Ila nina ujumbe wao huu......
Siku hizi imekuwa taabu jamani, mara kuna mbio za chifu marealle, kumbukumbu maalumu ya chifu marealle chifu, chifu,chifu n.k
Jamani msitutishe na uchifu wenu bwana hata kwetu walikuwepo machifu tena walikuwa wapiganaji kwelikweli,!! lakini hayo yalifutwa yamepita....lakini hawa ndugu zetu wamezidi kuutangaza uchifu wao utadhani nchi hii wao tu ndiyo wametoka kwenye ukoo wa kichifu!!?? kila mtu akisema aanze kuutangaza uchifuchifu wake kama hawa jamaa itakuwa si itakuwa taabu? Sawa tuwakumbuke wazee wetu, lakini si "kiujiko ujiko hivi!"
ACHENI HIZO BANA!!!

Utumbo mtupu!
 
Back
Top Bottom