Kina Mama, Mmeajiri hausi geli au mke mbadala?

Ni kuwa wanawake wengi wanajishau tu,sababu hata kama unafanya kazi sio kisingizio kwani kuna wikend ambayo anaweza kuwa na familia yake,na pia kuna vitu na vitu vya kumwachia housegal afanye na vingine havifai kwani wewe mwanamke ulipokuwa unaolewa ulijua hivyo lakini ukifika tu ndani unasahau ghafla au nini!!!


Kwani na nyie huwa mnafanyaga nini? Mkishaoa that is!

Ina maana ukioa mikono yako inakatika? ulipkuwa hujaoa mbona ulikuwa unajifanyia kila kitu mwenyewe?
 
Kazi ya mke ni kupendeza,kukuburudisha kitandani( Kuburudishana) na kusimamia mambo muhimu ya ndani ya nyumba na sio yeye kupika ,kupakua ,kutandika ,kufua na mengine.
Nadhani ni mtazamo wenu wa kizamani au hali ya kiuchumi mliyonayo ndio inawapelekea kuwaza mke lzima awe kama mwanamke asiye jikomboa wa kijijini.
Tamaa yako ndoo inakupeleka kutaka kugonga housegel, kama unajiheshimu na una classhuwezi gonga Housegirl kwani ni kujidhalilisha na aibu , siokwasababu ni house girl ila ni aibu ya kukubali kumdhalilisha mkeo na familia kwaujumla na kujioneysha huwezi vumilia ngono.
 
Mahouse girl wengi huishia kulala na wazee wenye nyumba kwa sababu majukumu yao huzidi ya mama mwenye nyumba na hicho huleta kishawishi kwa mzee.
 
Ondoa hii avatar yako ni ya mambo ya kikubwa: inaonesha unanyonya dildo.
avatar34631_1.gif
 
Hapa Ndugu Zangu Mimi nakuja kinyume,Si JustfyUchafu wa wanaume kutembea na Housegirls vile vile sifagilii upumbavu wa wanawake kuwaachi house girls majukumu yao au kutembea na Houseboys as reply to what man does.Wote mmeingia kwenye ndoa kwa lengo moja tu Commitment to each other.

Hainiingii akilini mwanaume unatafuta hela ya kusatisfy needs za Familia and Mwanamke pia is working ila hachangii kitu then Jioni aje akae aseme nimechoka!!!!

Hainiingii akilini mama wa Familia hata week end moja hawezi kutulia akaipikia familia chakula wakala kwa pamoja wakafurahi instead anamwachia house girl.

Hainiingii akilini mbaba unaona kuna shughuli za home Husaidii unakaa tu kama hazikuhusu.(Je ukijisaidia haja kubwa mkeo ndo anakutawaza??).

Last week end Nilikuwanasuluhisha kesi moja Hivi ya wanandoa

Malalamiko yalikuwa
Mke alikuwa na wazo la ujasiriamali ili walau ajikomboe kuchangia pato la familia tofauti na hali ilivyo,Hivyo akamkopa jamaa sh mill 7 kuanzisha saloon ya kike,ambazo alipewa, Bahati Mbaya House girl wao aliondoka kutokana na kuzidiwa na majukumu,In short mama alikuwa akiingia kukaa kula tv kulala na kusepa asubuhi yake,Mzee na house Girl ndo watakao hangaika na house running and maintenance,

Sasa jamaa analalamika mkewe akitoka kazini kazi kushinda Saloon an mwendo ni ule ule no Contribution nyumbani.Juzi jamaa yalimshinda baada ya mkewe kurudi late akamuuliza mbona umekaa tu na kuna vitu vingi vya kufanya humu ndani.
Inshort Jamaa alimwambia tu naona nimechoka sasa inabidi urudi kwenu wakakufunze adabu...ukiendelea kukaahapa sekunde zifuatazo utageuka jina so fungasha vilivyo vyako.Hivyo ilibidi niitwe kama mdhamini.

Kwahiyo Hapa tunachokosa ni commitments for both sides!
 
Kwani na nyie huwa mnafanyaga nini? Mkishaoa that is!

Ina maana ukioa mikono yako inakatika? ulipkuwa hujaoa mbona ulikuwa unajifanyia kila kitu mwenyewe?

Dadaangu (naamini we ni dada), kati ya 'turning point' mbaya kwenye ndoa ni kujiuliza maswali hayo. Najua unaweza ukawa unauliza tu kama utani, lakini kemea, tena kemea sana ili huyo roho asijekukuingia, ukajikuta umeanza hata kujihoji nafisni mwako maswali kama hayo. Kwa nje yanaonekana very genuine, lakini impact yake.. mswalie mtume isikupate...
 
Ukizembea na kumuachia HG kila kitu na weye kunyoosha miguu mbele ya TV/PC/LT na HG ndiyo anazidi kumeremeta basi itakula kwako.

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom