Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
Mimi ni Mhasibu. Nakaribia kumaliza mwaka nikiwa na 'surplus'(ziada). Hii ina maana matumizi yangu yamekuwa madogo ukilinganisha na nilivyopanga kutumia. Sehemu kubwa ya ziada imetokana na kina dada kutonichuna sana kama ilivyokuwa mwaka 2009.
Ombi langu ni kwa kina dada wanaojua kutumia kunitafuta ili tutafune pesa kabla ya mwaka huu kuisha. Mie nina pesa mpaka nachukia.
Ombi langu ni kwa kina dada wanaojua kutumia kunitafuta ili tutafune pesa kabla ya mwaka huu kuisha. Mie nina pesa mpaka nachukia.