Kina dada na kina kaka ukifa leo nani ataitoa lock simu yako

Tena mimi inabidi niliweke clear hili jambo.
Nikidedi simu yangu asiifungue mtu.
Kama kuna mtu anataka kuitumia basi aiflash iwe kama mpya yaani afute kila kitu..

Yaani kumbe kuna watu wana mipango ya kucheki vitu vya marehemu akishadedi huu ni ushenzi
 
Mimi mpenzi wangu anajua pattern zangu mimi pia najua zake,Kwa sababu tunashare vingi sana yani kwahiyo hatuwezi kufichana password za simu.

Hata passwords za bank accounts anajua na mimi najua zake.
Sema now balance inasoma buku tu 🙄🙄
 
weeeee unashare na yeye anashare za kwake au subiri mmoja apate hela nyingi zaidi ya mwenzio ndio itakuwa mwisho
Mimi mpenzi wangu anajua pattern zangu mimi pia najua zake,Kwa sababu tunashare vingi sana yani kwahiyo hatuwezi kufichana password za simu.

Hata passwords za bank accounts anajua na mimi najua zake.
Sema now balance inasoma buku tu 🙄🙄
 
Mkuu, unataka kugundua nini kwenye simu ya marehemu?

Kama hakutaka mjue mambo ya kwenye simu yake, kwa nini mtake kujua baada ya yeye kutangulia?

Tuwaheshimu marehemu
 
Tena mimi inabidi niliweke clear hili jambo.
Nikidedi simu yangu asiifungue mtu.
Kama kuna mtu anataka kuitumia basi aiflash iwe kama mpya yaani afute kila kitu..
Yaani kumbe kuna watu wana mipango ya kucheki vitu vya marehemu akishadedi huu ni ushenzi
Lazima tucheki wewe acha kututisha, na kwa taarifa yako tunatengeneza kadem kaku_spy 😊😊😊 tujuwe ushenzi wa marehemu.

Kama ulikuwa na magashi 6 kwa wakati mmoja tutapiga vigelegele na kunywa K-vant na kulimwagia jeneza Mwamba kasepa na ushindi hahahaha (jokes)
 
Aisee watu wanaongoza kwa kuweka password kwenye simu, hadi kwenye sms na kwenye phonebook. hivi mkaka/ mdada ukifa leo nani ataitoa lock kwenye simu yako.
Kwenye hizi takataka za mchina (Tecno, itel, huawei, vodafone n.k) Password, pin na pattern zinatoka kirahisi sana labda kwenye iPhone. Kitu haiflashiwi wala nini. Mm ukiwa na simu yako au computer dk 3 nyingi nishadukua kila kitu.
 
Nitaitoa mwenyewe maana ina fingerprints..
Hiyo takataka utawasumbua ambayo hawajui simu. Mm na mke wangu wala hatujaweka password, pin, pattern au fingerprint. Yeye mwenyewe ananijua vizuri kwenye issue ya kudukua.
 
Back
Top Bottom