Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 23,410
- 36,559
😂😂😂Huyu dada atakuwa na ufunguo wa vyanzo vya mapatoJamaa ni mzalendo kwelikweli
Maendeleo hayana chama
Mapenzi
Kama bi dada anamfinyia kwa ndani basi ni haki yake kuonyesha uzalendo.Mapemzi Mapenzi mtu aelewi hapo hii ndio wanaitaga kafa kaoza au nzi kafia kwenye kidonda huyu ndio yule asikii wala hambiliki
😂😂😂 hakika huyu dada sio mtu mzr kabisa kunavitu anapewa huyu mwana.Kama bi dada anamfinyia kwa ndani basi ni haki yake kuonyesha uzalendo.
Maendeleo hayana chama
inawezekena karuhusiwa kung'olewa mpk kishikizohakika huyu dada sio mtu mzr kabisa kunavitu anapewa huyu mwana.
😂😂😂 siku ukikutana naye mwenye punzi akikaa hapo utaliona hilo balaa mzee.
Kuna Uzi alileta mtu wa kurogwa nadhani huyu jamaa anahusika😂😂😂 hakika huyu dada sio mtu mzr kabisa kunavitu anapewa huyu mwana.
😂😂😂😂 umenichekesha kifala sana sio kwamba kapewa barabara ya vumbi badala ya lamiinawezekena karuhusiwa kung'olewa mpk kishikizo
Maendeleo hayana chama
Huyo hata gari hana pesa hana Bi dada hawezi mroga huyo sijui kapewa nn huyo.Kuna Uzi alileta mtu wa kurogwa nadhani huyu jamaa anahusika
Tumuweke kundi gani sasa mkuuHuyo hata gari hana pesa hana Bi dada hawezi mroga huyo sijui kapewa nn huyo.
Sijui hata nipendekeze akaewapi 😂😂😂 maana huyu nikisanga.Tumuweke kundi gani sasa mkuu
🤣🤣🤣🤣Sijui hata nipendekeze akaewapi 😂😂😂 maana huyu nikisanga.