Vituka
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 2,257
- 1,247
Habari wana MMU,
Jamani naomba tu niwashauri wanawake wenzangu ambao ni fans wa makeup. Ni kweli wengi wenu zinawapendezesha sana lakini ebu jaribuni kufikiria zaidi kuhusu madhara ya hii kitu jamani! Ni ukweli usiofichika kwamba baada ya matumizi ya muda mrefu yafuatayo yaweza kutokea.

- Ule muonekano wa ngozi yako halisi na sura yako hubadilika na kwa sababu hiyo unakuwa mtumwa! Bila makeups hutoki!
- Ngozi ya uso inazeeka na unaonekana mzee (hii imemtokea rafiki yangu wa karibu)