Kina dada/mama na makeup zenu!

Vituka

JF-Expert Member
Nov 9, 2011
2,257
1,247
Habari wana MMU,

Jamani naomba tu niwashauri wanawake wenzangu ambao ni fans wa makeup. Ni kweli wengi wenu zinawapendezesha sana lakini ebu jaribuni kufikiria zaidi kuhusu madhara ya hii kitu jamani! Ni ukweli usiofichika kwamba baada ya matumizi ya muda mrefu yafuatayo yaweza kutokea.
  • Ule muonekano wa ngozi yako halisi na sura yako hubadilika na kwa sababu hiyo unakuwa mtumwa! Bila makeups hutoki!
  • Ngozi ya uso inazeeka na unaonekana mzee (hii imemtokea rafiki yangu wa karibu)
Nawashauri tu wanawake wenzangu, pamoja na ukweli kwamba wengiwenu mnapendeza na kuvutia sana baada ya kupaka makeups, ila jitahidini zisiwazoee sana, na upakaji wake uwe wa kiasi basi mana wengine kha! Hadi unamuonea mtu huruma! Kuna mmoja nimekutana nae asubuhi hii huku town hadi nikatamani kucheka mana anafanana na nyau! Samahani kwa ambao watakwazika ila ni ushauri wa bure tu.
 
Sijui kama watakuelewa maana wengine mapaka muda wa kulala,hawawezi lala bila kutumia hiyo kitu sijui ni ulimbukeni au ni nini?
 
Ukitaka kumjua vzr mvizie soon anapoamka na kupaka makeup zake unaweza kimbia.
 
Mkuu umeni kumbusha mbali nimecheka mpaka nimepaliwa. Siku moja nilikutana na bidada mmoja kapaka rangi ya nyumba (sadoline) kwenye macho kisa tu amechishe na nguo aliyovaa jamaaaaaaaniii!!!!! Uso nyau si nyau kinyago cha pale mwenge kina afadhali.
 
Sijui kama watakuelewa maana wengine mapaka muda wa kulala,hawawezi lala bila kutumia hiyo kitu sijui ni ulimbukeni au ni nini?
tumblr_mulf812rmO1sqgmn3o1_1280.jpg

2308410-773469-young-red-haired-woman-with-makeup-sleeping.jpg
rby-7-biggest-beauty-sins-sleeping-with-makeup-mdn.jpg
 
Habari wana MMU,

Jamani naomba tu niwashauri wanawake wenzangu ambao ni fans wa makeup. Ni kweli wengi wenu zinawapendezesha sana lakini ebu jaribuni kufikiria zaidi kuhusu madhara ya hii kitu jamani! Ni ukweli usiofichika kwamba baada ya matumizi ya muda mrefu yafuatayo yaweza kutokea.
  • Ule muonekano wa ngozi yako halisi na sura yako hubadilika na kwa sababu hiyo unakuwa mtumwa! Bila makeups hutoki!
  • Ngozi ya uso inazeeka na unaonekana mzee (hii imemtokea rafiki yangu wa karibu)
Nawashauri tu wanawake wenzangu, pamoja na ukweli kwamba wengiwenu mnapendeza na kuvutia sana baada ya kupaka makeups, ila jitahidini zisiwazoee sana, na upakaji wake uwe wa kiasi basi mana wengine kha! Hadi unamuonea mtu huruma! Kuna mmoja nimekutana nae asubuhi hii huku town hadi nikatamani kucheka mana anafanana na nyau! Samahani kwa ambao watakwazika ila ni ushauri wa bure tu.
hivi kumbe kuna wanawake wanaakili mi nilifikiri baada ya Mama yangu na mke wangu hakuna wengine!
thanks umeniongezea imani!
 
nashukuru umesema wewe,yan watu hawajui madhara ya hayo makitu na wengine wamezoea yan hawawez kutoka bila hayo makitu,saingine naonaga kama hawajiamini kua bila make up hawajapendeza na maji hawanywi,utakuta mabinti wadogi ngozi mbaya kama ya bibi yangu kule unyamwenzini
 
Sio siri wanatia huruma hawa wanawake, afu kuta basi mtu kajitia hiyo mirangi, afu kapiga ule wanja unaokaribia kulifikia shavu, khaa!Mi huwa hadi naogopa kuwatazama!Ivi shida yote hii nini jamani? Au ndo mnataka muwavutie wanaume? Mbona wenyewe wanawaponda tu!
 
Habari wana MMU,

Jamani naomba tu niwashauri wanawake wenzangu ambao ni fans wa makeup. Ni kweli wengi wenu zinawapendezesha sana lakini ebu jaribuni kufikiria zaidi kuhusu madhara ya hii kitu jamani! Ni ukweli usiofichika kwamba baada ya matumizi ya muda mrefu yafuatayo yaweza kutokea.
  • Ule muonekano wa ngozi yako halisi na sura yako hubadilika na kwa sababu hiyo unakuwa mtumwa! Bila makeups hutoki!
  • Ngozi ya uso inazeeka na unaonekana mzee (hii imemtokea rafiki yangu wa karibu)
Nawashauri tu wanawake wenzangu, pamoja na ukweli kwamba wengiwenu mnapendeza na kuvutia sana baada ya kupaka makeups, ila jitahidini zisiwazoee sana, na upakaji wake uwe wa kiasi basi mana wengine kha! Hadi unamuonea mtu huruma! Kuna mmoja nimekutana nae asubuhi hii huku town hadi nikatamani kucheka mana anafanana na nyau! Samahani kwa ambao watakwazika ila ni ushauri wa bure tu.

hii meseji delivery maana kuna mtu huwa ananichelewesha sana kisa make ups..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom