Kina cha Maji Bwawa la Nyumba ya Mungu chapungua

Mkuu

UJASIRI ule ule mliotumia kusema Lowassa ni msafi ilhali mlishamuita fisadi na mkamuweka mpaka kwenye website ya chama ktk The List of Shame basi UJASIRI huo huo utumike kukiri hadharani kwamba The Late Magufuli aliimudu hii nchi sana sana,

Msione aibu kukiri, unafiki tulishauzoea
Kwangu mimi Mh Magu alikuwa 50/50 hakuwa mzur wala mbaya.
 
Bwawa la Nyumba ya Mungu linalotegemewa limepungua kiwango chake cha maji na kulazimika uzalishaji wa Umeme kupungua hivyo kulazimu baadhi ya mashine za uzalishaji kuzimwa.

Kina cha maji kimepungua kutokana na kuchelewa na kukosekana kwa mvua! Hayo yamesemwa na Mhandinsi Sugule Sugule.

Kazi iendelee
===
Maji katika Bwawa la nyumba ya Mungu mkoani Kilimanjaro yamepungua kutoka mita za ujazo 689 hadi kufikia 685 kutokana na ukame ambao umesababishwa na mvua za vuli kuchelewa kunyesha na hivyo kusababisha kituo za uzalishaji umeme kuagizwa kupunguza mashine za uzalishaji umeme katika bwawa hilo.

Hayo yamezungumzwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Bonde la Pangani Mhandisi Segule Segule.

Chanzo: ITV
Sasa kama bwawa la nyumba ya Mungu limepungua kina cha maji je bwawa la nyumba ya shetani itakuwaje
 
Nilipita mtera naona maji yamepungua ila yalikua mengi kwa muda mrefu na nadhani ni tatizo la muda mfupi tuu maana mvua inanyesha ya kutosha ila wajanja wanaweza kufanya ni tatizo endelevu..
 
Back
Top Bottom