Viva89
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 1,261
- 525
wanaume wengne jamani mna roho ngumu cjapata ona...mtu hajatafutwa toka ijumaa,kabla ya hapo cjui linii..piga simu wee, kwishneh!kitu long distance,kila mara kulalamika mawasiliano yameisha unajibiwa majibu ya ajabu...ndo yale yaleee ya thread iliyopita mtu unaachwa kimya kimya...inaumiza watu,dah...nimeona niseme tu,mapenzi haya!usicheze na mioyo wa watu jamani..