utiyansanga
JF-Expert Member
- May 19, 2010
- 213
- 7
INGAWAJE NINA UHAKIKA KUNA WATU HAWATAPENDA KUSIKIA HII,LAKINI NI LAZIMA KUMJUA ADUI YAKO KATIKA VITA! PAMOJA NA MAPUNGUFU YOTE KIMUUNDO WA KITASISI CCM WANATISHA .KUMBUKA WANA VIONGOZI KILA MTAA!NA WATU HAWA PENGINE WANAFANYA KAMA NI WATUMISHI WA UMMA!KWA NHIYO TUNAPOTAFAKARI HATMA YETU NI LAZIMA KUANGALIA UIMARA HUU WA CCM KIMUUNDO WAKIBADILIKA KIDOGO TU KUWANG'OA NI TABU.
HII NI CHANGAMOTO KUBWA KWA CHADEMA ,ANGALIA HATA KURA WALIZOPATA ZINALINGANA NA IDADI YA WANA CHAMA WAO M5! INAWEZEKANA WALIOPIGA KURA HIZO ZA USHINDI NA KUCHAKACHUA NI WANACHAMA WA WAO.
dk hakuna kulala tuijenge CHADEMA kitasisi kuanzia kesho! hebu fikiria nani alilinda kura kule ambako hakukua na wagombea wa chadema! tutafakari tuchukue hatua!