Kimunya-waziri Wa Fedha Akataa Kujiuzulu

Mwikimbi

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,762
826
Yule Waziri Wa Fedha Kenya Amekataa Kujiuzulu Kwa Madai Kuwa Hakuteuliwa Na Bunge Wala Mtu Yeyote Bali Rais Kibaki!
Amekataa Hili Licha Ya Kwamba Tume Iliyoundwa Na Waziri Mkuu Raila Odinga Ilipendekeza Awajibishwe.

Nini Itakuwa Reaction Ya Kibaki? Hiki Kiburi Kimunya Anakipata Wapi?
 
Huyo anacheza.Sasa kwani katiba hairuhusu bunge kupiga kura ya kuitokua na imani na huyo mheshimiwa? Vipi kama kibaki atashindwa ku-act accordingly?
 
hawa ndo viongozi ambao wanalipwa zaidi kuliko viongozi wa TANZANIA...!
(wabunge wetu nao wanaanza kampeni ya chini-chini walipwe kama KENYA)
 
Kulipwa kama Kenya si shida lakini ufisadi na kiburi kama Kenya Nooooooooooo.
 
Back
Top Bottom