Kimuhemuhe cha umiliki wa Gari ya kwanza

Haaha siku nikija nunua gari nahisi day 1 ntalala ndani ya gari😂😂 pia kuiacha gari nje mimi nilale ndani sijui kama usingizi utakuja. Hongereni wote mlioweza kuwa na magari. Napenda IST new model iwe gari yangu ya kwanza😛
Hiyo IST inanifurahisha kutokana na muundo wake kama kiatu cha mtoto 😆
 
Mimi kama sina dili la uhakika wa Pesa naacha gari home vizur napanda zangu daladala kwa amani,
Sema huwa natokaga muda ambao najua hakuna usafir wa shida, sitoki asubuh wala sirud jioni, natoka kuanzia saa 4 asubuh kunakua hakuna shida ya usafir na narudi kabla ya jioni.
 
Back
Top Bottom