Kimpa kisangameni wimbo wa FRANCO

Baada ya Franco kumuimbia mobutu huo Wimbo candidate de mobutu nilioutafsiri hapo juu,mobutu alifurahi mno alimzawadia franco malori 6 makubwa,akampa na eneo katikati ya jiji la Kinshasa Franco akajenga bar kubwa iliyoitwa ok bar
Prmben ya hiyo bar ndipo yalikuwa makao makuu ya bandi yake TP OKK JAZZ
Hadi Leo hiyo night club IPO na inaendeshwa na kijana pekee wa Franco aitwae YVES EMONGO LUAMBO, kijana huyu pia anasimamia mali za babá yake huko Brussels ,Paris na Amsterdam
Kwa bahati mbaya sijawahi kumjua mke/ wake za Franco luambo luanzo makiadi
Franco kipindi hicho ndiye alikuwa msanii mwenye hela kuliko wote Africa ,inakadiriwa kuwa Franco Hadi anafariki alikuwa na albamu zaidi ya 100 huku nyimbo zake single zikiwa 1200+
 
Wimbo mwingine wa Franco unaitwa Fabrice(1986)
Huu Wimbo Ni tangazo la promo kwa duka kuubwa la kuuza nguo Huko Brussels ubelgiji,kipindi hicho Kuna suruali zinaitwa abbacos zilikuwa maarufu Ni Kama ilivyo "GUCCI" kwa sasa franco alipiga Wimbo kwa promotion hiyo,alipata héla maana suruali hizo zilikuw zinavaliwa n'a watu mashuhuri
Nimeweka tafsiri ya Wimbo huo kwa kiingerezaView attachment 1081449View attachment 1081450
Screenshot_20190426-080959.jpeg
 
Lini utatupatia historian ya
Madilu system
nitaiweka baada ya hii tafsiri ya wimbo wa franco
ila kwa kifupi tu,madilu alikua mtu aliyeweka maisha yake binafsi yabaki kuwa binafsi, mengi kuhusu yeye hayajulikani kirahisi,
alioa mwanamke wa uswizi,ila alikua na umri mkubwa kuliko madilu, mke wake wa kikongo anaitwa pauline mboyo, madilu alitajwa kuwa mchawi sana, mengine nitayaleta kiundani
 
Mm pia Ni mpenzi wa miziki ya hayati Franco
Ninazo nyimbo za Franco zaidi ya 100
Azda
Attention na sida
FC 105 du Gabon
Colonel bangala
Naloba Nini
Très impol
République du Zaïre
Matata ya mwasi
Muongo na mulozu
Sadou
Mamou
Mario
12600 lettres
Coopération odongo
Azron
Liberté
Makambo ezali minene
pesa position
Candidat na bisso de Mobutu
Helena
Ngungi
Muya
Zipo nyingi mno
mkuu fanya kutupia angalau moja moja hapa, kwasababu ni vigumu kwa sisi kuzipata mitandaoni,kila siku youtube napata zile zile tu mario,mamu nk, fanya uweke hapa ili tuzisikilize
 
Kwa habari ya Tafsiri Sahihi ya Kilingala kuja Kiswahili wasiliana na Tshimanga Kalala Asossa Joachim a.k.a Papaa Tshim (Unaisoma Chim) yeye ni hodari na muadilifu sana kutoa tafsiri inayokubalika. Pia Asossa ameishi na wote hao Franco na mdogo wake Bavon. Kabla ajali haijatokea Asossa alikua na Bavon na aliushuhudia kwa macho yake huo ugomvi. Asossa hafichi namba yake ya simu huwa anaitaja hadharani TBC FM akiwa na Mbazigwa Hassan. Namba yake ni +255 713 240 735. Mtafute akupe tafsiri utuwekee hapa.
sawa mkuu,nitamtafuta
 
Candidaa ya Bisso ilikuwa uchaguzi Zaire kipindi hicho nadhan 1975 au 1977 Rwambo ilibidi amtungie Mobutu nyimbo ya campaign ya kumfagilia awe Rais..baadhi ya mashairi ni..nzambe atino yo..yaan Mungu amekutuma kuwa Rais .pia anasema belela na kombo ya mobutu yaani tangazeni jina la mobutu..ya bisso kandidaa mobutu seseseko..yaani mgombea ni mobutu seseseko
kweli kabisa, na franco alitajirika kupitia mobutu, walianza uhusiano wa kikazi baadae ukawa urafiki wa karibu,jana usiku hatimae nilifanikiwa kuona video ya mobutu alipotembelea kaburi la franco na kuialika familia ya franco ikulu
 
Back
Top Bottom