janken mbisso
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 248
- 71
Alipokuwa DC Mbozi, Kimoro alijipambanua kuwa mpingaji wa sera ya serikal ktk biashara ya kahawa hasa leap/red cherry,akapigania maslahi binafsi na ya kundi la walanguzi waliokuwa wamechanga hela hapa Mlowo ili awapiganie,mwisho ameua ubora na thaman ya thaman ya kahawa ya tz akishirikiana na Adolph Kumburu na Mwakipesile mkuu wa mkoa mstaafu.
Kampun zilikuwa zimekeza na kuajili watz kibao mf. Lima ltd zikajiondoa,ivo kupelekea kuachishwa wafanyakazi wa kudumu zaidi ya 600 na vibarua wa muda zaid ya 1000.
Kampun zilikuwa zimekeza na kuajili watz kibao mf. Lima ltd zikajiondoa,ivo kupelekea kuachishwa wafanyakazi wa kudumu zaidi ya 600 na vibarua wa muda zaid ya 1000.