jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,206
- 5,454
Symbioni, Agreco sasa hivi watatuletea majenereta yao yali makubwa kama kontena kwaajir ya kutu uzia umeme unit Kwa shilingi 800Wamechelewa. Magu alishatupa siri zote za migao ya umeme. Nilisema hii nchi atakayekuja kuongoza baada ya Magu atapata shida sana. Walikosea sana kumpa mtu nchi ambaye sio mwanasiasa.