Kimeumana Bungeni! Spika Ndugai ahoji kama kuna mgao wa umeme nchini

Ndombwindo

JF-Expert Member
Nov 23, 2013
841
1,000
TANESCO inapaswa ifumuliwe yote, inaonekana baadhi ya watumishi wa Tanesco wanaihujumu Serikali, hivyo waziri na watendaji wake watupie jicho kila kona ya Tanesco
Serikali na mkono wake mrefu ndio ukatwe na Tanesco!!! Wakuifumua ndio huyo anasema suluhu sio fukuza fukuza, nawakumbisha tena this is Africa.
 

Etwege

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
3,502
2,000
Mawazo ya zitto yangefanyiwa kazi yangesaidia japo hayana maana na faida kwa sasa
Zito anawapenda sana Kikwete na Makamba.

Yuko tayari kutetea kila aina ya ujinga na kujitoa fahamu..

Kwa nini wasikubali tu kwamba wameshindwa kuvaa viatu vya Magufuli?
Mbona Samia amekubali hadharani na hamna aliyemshangaa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom