Kimetoweka tena!!

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,196
113,468
Hivi ni kwangu tu au na kwenu pia? Kitufe cha "Thanks" kimetoweka tena.

I don't mean to complain but this is now getting childish and ridiculous. Mara mkilete mara mkipotezee. Tuwaeleweje sasa nyinyi powers that be?

Y'all need to make up your minds as to what you want to do. Stop acting like those hormonally charged high school kids. Get it together.
 
kitufe cha thanks wamekitoa tena....na bahati mbaya suala la taarifa ni gumu kidogo...
Nashindwa kuelewa ugumu wa mod mmoja kutoa taarifa nini chaendelea hadi watu walalamike...
 
mods hawajielewi, wanakosa msimamo. Ingawa inawezekana kuna matatizo ya kiufundi.
 
mods hawajielewi, wanakosa msimamo. Ingawa inawezekana kuna matatizo ya kiufundi.

Kweli kabisa hawa watu hata hawajielewi sasa. Wanayumbishwa yumbishwa kama kishada cha karatasi. Mara wakilete...mara wakitoe...mara wakilete tena....mara ghafla kinatoweka.

What the freak is that? Gotdamnit!
 
Hata mimi sikioni kwenye mobile yangu. Nikafikiri nyie wenye PC mnakifaidi.
 
wamekitoa baada ya maxshimba kuonekana ametoa thanks 500+ wakati wote tulikuwa na zero..
 
wamekitoa baada ya maxshimba kuonekana ametoa thanks 500+ wakati wote tulikuwa na zero..

What the hell?

Max aliwezaje kutoa zote hizo? Na alizitolea wapi? Kule kwenye jukwaa lake? Manake wengine hatuingiagi huko. Nimewahi kwenda huko mara moja tu tena ilikuwa ka bahati mbaya.
 
Kweli kabisa hawa watu hata hawajielewi sasa. Wanayumbishwa yumbishwa kama kishada cha karatasi. Mara wakilete...mara wakitoe...mara wakilete tena....mara ghafla kinatoweka.

What the freak is that? Gotdamnit!

nafikiri wanajaribu kuridhisha members lakini hawatoweza kuridhisha kila mmoja. Mambo mengine waache tu yaendelee.
 
hivi kwa nini walikitoaga kule mwanzoni kabisa??
 
nafikiri wanajaribu kuridhisha members lakini hawatoweza kuridhisha kila mmoja. Mambo mengine waache tu yaendelee.

Kweli kabisa.

Ni kheri wakipotezee tu kwa sababu kilishapoteza maana kabisa. Manake ilifikia sehemu hadi zinaombwa kabisa na vijitu vikanogewa na kuanza kamchezo ka kugongeana.

Unakuta wenyewe wanakumbushiana kabisa...'asee mamiii hebu tenda haki kwenye post namba so and so'.....teh teh teh....

There are a whole bunch of big babies up in here.
 
hivi kwa nini walikitoaga kule mwanzoni kabisa??

You got me JS!! Mwanzoni ipi unayoizungumzia wewe? Manake mwanzoni mwanzoni kabisa kilikuwepo na watu walikuwa hawaombani kama ilivyokuwa hizi mara za karibuni.
 
Kisirudi tena milele kwasababu kilikuwa kinaleta unyanyasaji wa kijinsia tu.
 
Labda mods wameona hizo thanks wanapewa wengine tu, wao hawazipati...
 
You got me JS!! Mwanzoni ipi unayoizungumzia wewe? Manake mwanzoni mwanzoni kabisa kilikuwepo na watu walikuwa hawaombani kama ilivyokuwa hizi mara za karibuni.

Mwanzoni kabla ya "like icon"...walitoa thanks wakaeka like....
 
Back
Top Bottom