Kimetokea nini Habari Leo?? Heading zote za Dr Slaa... kunyofolewa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kimetokea nini Habari Leo?? Heading zote za Dr Slaa... kunyofolewa?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Moseley, Sep 9, 2010.

 1. Moseley

  Moseley Senior Member

  #1
  Sep 9, 2010
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Je, Habari Leo wamegundua kuwa wanampa umaarufu Dr Slaa kwa kumwandika vibaya?? Maana ukifungua gazeti lao kwenye website yao, kwenye habari zaidi, zile heading zilizokuwa zinamchafua Dr Slaa wamezinyofoa... Je, wamegundua kuwa wanampa umaarufu bila wao kufahamu??
  Ni mtazamo tu, Nawakilisha.......
   
 2. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mbona bado zipo HabariLeo | Gwiji la Habari Tanzania : sema hawana tena cha kumuandika Slaa pumzi imewaishia walikuwa wanategemea habari moja tu sasa iko mahakamani hawawezi kuiandika.
   
 3. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #3
  Sep 9, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  wameanza kuogopa, kwa jinsi wanavyomchafua slaa ndo jinsi yanavyoibuka mengi dhidi yao
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Sep 9, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,446
  Likes Received: 5,833
  Trophy Points: 280
  Bado zipo bofya habari za kitaifa au HabariLeo | Gwiji la Habari Tanzania
   
Loading...