Kimenuka: Bifu jipya kati ya SoudyBrown na Diva The Bawse

QUOTE="TEAM B-13, post: 28756011, member: 467412"]Ndo maana nimejitoa huko IG Uhuni mtupu basi usikute ni joke tu wanatafuta kiki ili waboost biashara zao na kujiongezea followes[/QUOTE]same to me siko IG ni ujinga tu JF ndo mpango mzima
 
Mkuu kumbe umbea ulianzaga zamani eeh? ila sio mbaya maana sometimes kuna baadhi ya thread zako zinanitoa tongo tongo
Kimenukaaaaa , Bifu Jipya in Town kati ya rais wa wambea duniani Soudybrown na mwanadada mwenye sauti laini ya kumtoa nyoka pangoni Diva The Bawse.

Ila kusema ukweli hili bifu nina mashaka nalo makubwa sana ,ninahisi ni bifu la kupangwa ili CMG wasike sikike kidogo maana hawana jipya, mpaka wakatubu WCB ndipo watapata habari kidogo ambazo zitasababisha na wao wakapata tonge lao la ugali.


Kiki zao zimeanzia mbali, tangu kipindi kile Diva alipotangaza kuna mtu mkubwa anamsumbua sumbua hivyo amepanga kumtolea uvivu, siku hiyo alisababisha mamia ya watu kuweka notifications on ili wawe wa kwanza kupata ubuyu moto moto kabla haujapoa lakini mwisho wa siku ikaonekana kwamba ilikuwa ni kiki.


Ila anyway ngoja ,tuone kama hawa wanabifu kweli au wanatuektia, kama wana bifu kweli basi SoudyBrown ataumia zaidi kuliko Diva.


View attachment 896048

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom