Kimenuka: Bifu jipya kati ya SoudyBrown na Diva The Bawse

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,374
21,070
Kimenukaaaaa , Bifu Jipya in Town kati ya rais wa wambea duniani Soudybrown na mwanadada mwenye sauti laini ya kumtoa nyoka pangoni Diva The Bawse.

Ila kusema ukweli hili bifu nina mashaka nalo makubwa sana ,ninahisi ni bifu la kupangwa ili CMG wasike sikike kidogo maana hawana jipya, mpaka wakatubu WCB ndipo watapata habari kidogo ambazo zitasababisha na wao wakapata tonge lao la ugali.

Kiki zao zimeanzia mbali, tangu kipindi kile Diva alipotangaza kuna mtu mkubwa anamsumbua sumbua hivyo amepanga kumtolea uvivu, siku hiyo alisababisha mamia ya watu kuweka notifications on ili wawe wa kwanza kupata ubuyu moto moto kabla haujapoa lakini mwisho wa siku ikaonekana kwamba ilikuwa ni kiki.

Ila anyway ngoja ,tuone kama hawa wanabifu kweli au wanatuektia, kama wana bifu kweli basi SoudyBrown ataumia zaidi kuliko Diva.

20181012_231029.jpeg
 
View attachment 896048
Soudy baada ya kukosa habari za WCB sasa ni lazima atumie nguvu kurudi kwenye umaarufu mtoa mada acha ufala
 
Ndo maana nimejitoa huko IG Uhuni mtupu basi usikute ni joke tu wanatafuta kiki ili waboost biashara zao na kujiongezea followes
 
Nakumbuka kipindi kile diva anatoka na zito; nilipost comment moja kumhusu nikala ban ya miezi miwili.
 
Kimenukaaaaa , Bifu Jipya in Town kati ya rais wa wambea duniani Soudybrown na mwanadada mwenye sauti laini ya kumtoa nyoka pangoni Diva The Bawse.

Ila kusema ukweli hili bifu nina mashaka nalo makubwa sana ,ninahisi ni bifu la kupangwa ili CMG wasike sikike kidogo maana hawana jipya, mpaka wakatubu WCB ndipo watapata habari kidogo ambazo zitasababisha na wao wakapata tonge lao la ugali.

Kiki zao zimeanzia mbali, tangu kipindi kile Diva alipotangaza kuna mtu mkubwa anamsumbua sumbua hivyo amepanga kumtolea uvivu, siku hiyo alisababisha mamia ya watu kuweka notifications on ili wawe wa kwanza kupata ubuyu moto moto kabla haujapoa lakini mwisho wa siku ikaonekana kwamba ilikuwa ni kiki.

Ila anyway ngoja ,tuone kama hawa wanabifu kweli au wanatuektia, kama wana bifu kweli basi SoudyBrown ataumia zaidi kuliko Diva.

View attachment 896048
utoto
 
inaweza ikawa kweli mana walikuwa maswaiba sana mjengoni na ngoma inayolia sana hupasuka
 
Back
Top Bottom