Kimenuka: UVCCM Zanzibar warejesha kadi Kisiwandui, kumbe walitapeliwa kwamba watapewa ajira, imebainika ni uongo!

Chama cha Mapinduzi Zanzibar kimepata pigo kubwa baada ya mamia ya Vijana wa uvccm waliotumikishwa kwa miaka mingi kwenye sekta ya Mazombie na Janjaweed kuzinduka na kuanza kukumbushia ahadi walizopewa na viongozi wao , kwamba watapatiwa ajira .

Leo baada ya danadana za kipindi kirefu wameibuka ofisi kuu ya ccm Kisiwandui kurejesha mamia ya kadi za chama hicho huku wakikituhumu kuwatumikisha bila kutimiza ahadi ya kuwapatia ajira , Je baada ya kurejesha kadi za ccm watajiunga na chama gani ?

Chanzo : Azam TV
SISIEMU wamezoea sana kuishi kwa JANJA JANJA JAZZ BAND.
 
Chama cha Mapinduzi Zanzibar kimepata pigo kubwa baada ya mamia ya Vijana wa uvccm waliotumikishwa kwa miaka mingi kwenye sekta ya Mazombie na Janjaweed kuzinduka na kuanza kukumbushia ahadi walizopewa na viongozi wao , kwamba watapatiwa ajira .

Leo baada ya danadana za kipindi kirefu wameibuka ofisi kuu ya ccm Kisiwandui kurejesha mamia ya kadi za chama hicho huku wakikituhumu kuwatumikisha bila kutimiza ahadi ya kuwapatia ajira , Je baada ya kurejesha kadi za ccm watajiunga na chama gani ?

Chanzo : Azam TV
hawana ubavu. watapewa kitu kidogo halafu watarudi kupiga watu kama kawaida. pesa ndogo inwanunua hawa.
 
Chama cha Mapinduzi Zanzibar kimepata pigo kubwa baada ya mamia ya Vijana wa uvccm waliotumikishwa kwa miaka mingi kwenye sekta ya Mazombie na Janjaweed kuzinduka na kuanza kukumbushia ahadi walizopewa na viongozi wao , kwamba watapatiwa ajira .

Leo baada ya danadana za kipindi kirefu wameibuka ofisi kuu ya ccm Kisiwandui kurejesha mamia ya kadi za chama hicho huku wakikituhumu kuwatumikisha bila kutimiza ahadi ya kuwapatia ajira , Je baada ya kurejesha kadi za ccm watajiunga na chama gani ?

Chanzo : Azam TV
Chama la wana
IMG_20200531_072737_186.jpg

Jr
 
Kuna sehem kuna fukufuku. Hawa Uvccm wamesema hawako tyar kufanya kazi ya kanisa. Kama hakuna pesa/ posho za kampain kila mgombea apambane na kampain kivyake.
 
Hii picha inafikirisha. Kosa kubwa upinzanini.
Ktk hao watu 5 kwa photo wote chadema. Assumption. Wa 3 umri wa kupiga kura bado. Kwa muonekano. Wawili wanaonekana umri wa kupiga kura tayari.
Sasa nyomi kuuuubwa eligible wa wili tu. Very sad. Na hao wa wili yaweza kua mmoja tu ndi alihakiki jina kwenye daftar la kura. Na siku ya uchaguz anaweza aende au asiende.
Na log off.
 
Chama cha Mapinduzi Zanzibar kimepata pigo kubwa baada ya mamia ya Vijana wa uvccm waliotumikishwa kwa miaka mingi kwenye sekta ya Mazombie na Janjaweed kuzinduka na kuanza kukumbushia ahadi walizopewa na viongozi wao , kwamba watapatiwa ajira .

Leo baada ya danadana za kipindi kirefu wameibuka ofisi kuu ya ccm Kisiwandui kurejesha mamia ya kadi za chama hicho huku wakikituhumu kuwatumikisha bila kutimiza ahadi ya kuwapatia ajira , Je baada ya kurejesha kadi za ccm watajiunga na chama gani ?

Chanzo : Azam TV
Bila shaka wataenda Chadema ila msije kulaumu baadae.
 
Unafikiri uvccm ni sawa na bavicha?
Hapana ,kuna tofauti kubwa, uvccm wapo kwa ajili ya kuchumia matumbo yao na ndiyo maana walikuwa wakitumikishwa kazi chafu za kishetani kwa ahadi ya kuajiriwa, wakati Bavicha wakifanya kazi kwa uadilifu kujitolea kujenga chama chao.
 
Daima shetani hanaga urafiki wa kudumu
Chama cha Mapinduzi Zanzibar kimepata pigo kubwa baada ya mamia ya Vijana wa uvccm waliotumikishwa kwa miaka mingi kwenye sekta ya Mazombie na Janjaweed kuzinduka na kuanza kukumbushia ahadi walizopewa na viongozi wao , kwamba watapatiwa ajira .

Leo baada ya danadana za kipindi kirefu wameibuka ofisi kuu ya ccm Kisiwandui kurejesha mamia ya kadi za chama hicho huku wakikituhumu kuwatumikisha bila kutimiza ahadi ya kuwapatia ajira , Je baada ya kurejesha kadi za ccm watajiunga na chama gani ?

Chanzo : Azam TV
 
Chama cha Mapinduzi Zanzibar kimepata pigo kubwa baada ya mamia ya Vijana wa uvccm waliotumikishwa kwa miaka mingi kwenye sekta ya Mazombie na Janjaweed kuzinduka na kuanza kukumbushia ahadi walizopewa na viongozi wao , kwamba watapatiwa ajira .

Leo baada ya danadana za kipindi kirefu wameibuka ofisi kuu ya ccm Kisiwandui kurejesha mamia ya kadi za chama hicho huku wakikituhumu kuwatumikisha bila kutimiza ahadi ya kuwapatia ajira , Je baada ya kurejesha kadi za ccm watajiunga na chama gani ?

Chanzo : Azam TV
Hao mamia kweli walienea pale Kisiwandui?
 
Back
Top Bottom