LIKUD JF-Expert Member Dec 26, 2012 15,075 27,017 Jun 12, 2013 #1 Kuna mapambano makali sana yanaendelea hapa Ubungo kati mgambo wa jiji& polisi vs Wamachinga wanao fanya biashara zao maeneo ya Ubungo. Ni nouma
Kuna mapambano makali sana yanaendelea hapa Ubungo kati mgambo wa jiji& polisi vs Wamachinga wanao fanya biashara zao maeneo ya Ubungo. Ni nouma
Iron Lady JF-Expert Member Mar 4, 2008 4,071 1,363 Jun 12, 2013 #2 vitu vya ncha kali wamebeba policcm?
kwamtoro JF-Expert Member Nov 15, 2010 4,922 3,234 Jun 12, 2013 #3 Ayaaa! Kimenuka. Wasipo singiziwa Chadema hapo sijui.
ITEGAMATWI JF-Expert Member Jan 26, 2012 5,310 4,040 Jun 12, 2013 #5 Acha kutubania mkuu, vipicha basi kidogo!!
Puro Member Sep 21, 2011 13 8 Jun 12, 2013 #6 Nakumbuka FFU waliwahi kuweka kambi miezi kama miwili hapo ubungo.
Loy MX JF-Expert Member Mar 26, 2012 1,253 312 Jun 12, 2013 #7 Mkuu tatizo ni nini?? Daah afu ni jimbo la Mnyika hilo hawakawii kutafuta sababu hwa Magamba..
bily JF-Expert Member Apr 5, 2012 8,030 5,772 Jun 12, 2013 #8 hapo amna mapambano wale machinga wa ubungo waoga na mara nyingi wako un-organized just is a short minutes policcm will take to clear the violence.
hapo amna mapambano wale machinga wa ubungo waoga na mara nyingi wako un-organized just is a short minutes policcm will take to clear the violence.
Inkoskaz JF-Expert Member Nov 6, 2010 6,372 2,374 Jun 12, 2013 #9 Na hii foleni ya jioni panapitika??
Makala Jr JF-Expert Member Aug 25, 2011 3,395 1,110 Jun 12, 2013 #10 Serikali corrupt haikusanyi kodi huishia kufukuzana na wafanya biashara wadogo barabarani huko...(Mwl.Nyerere)
Serikali corrupt haikusanyi kodi huishia kufukuzana na wafanya biashara wadogo barabarani huko...(Mwl.Nyerere)
Angel Msoffe JF-Expert Member Jun 21, 2011 6,781 1,639 Jun 12, 2013 #12 ITEGAMATWI said: Acha kutubania mkuu, vipicha basi kidogo!! Click to expand... Nilijua tu,
bily JF-Expert Member Apr 5, 2012 8,030 5,772 Jun 12, 2013 #13 Masanilo said: Mnyika mchochezi...... Click to expand... Amechochea nini sasa hapo unaropoka kama vile unapumuliwa kisogoni.
Masanilo said: Mnyika mchochezi...... Click to expand... Amechochea nini sasa hapo unaropoka kama vile unapumuliwa kisogoni.
Muke Ya Muzungu JF-Expert Member Jun 17, 2009 3,444 264 Jun 12, 2013 #14 John Mnyika asionekane huko !
ugolo wa bibi JF-Expert Member Jul 16, 2012 1,305 302 Jun 12, 2013 #15 serikali ya kifisadi ikishindwa kukusanya kodi kwa matajili,itakuwa inakimbizana na wamachinga mabarabarani....
serikali ya kifisadi ikishindwa kukusanya kodi kwa matajili,itakuwa inakimbizana na wamachinga mabarabarani....
MD25 JF-Expert Member Jan 28, 2012 3,074 1,018 Jun 12, 2013 #16 Iron Lady said: vitu vya ncha kali wamebeba policcm? Click to expand... Sio Policcm ni majibwa/mimbwa koko ya ccm...
Iron Lady said: vitu vya ncha kali wamebeba policcm? Click to expand... Sio Policcm ni majibwa/mimbwa koko ya ccm...
B blueprint. JF-Expert Member May 26, 2013 220 62 Jun 12, 2013 #17 sasa hapo ubungo daaah? siwataumizana sana? mana strabag walivoifanya ile barabara nadhani wamachinga wanauhakika na siraha.ni kuinama na kuokota tu.
sasa hapo ubungo daaah? siwataumizana sana? mana strabag walivoifanya ile barabara nadhani wamachinga wanauhakika na siraha.ni kuinama na kuokota tu.
bily JF-Expert Member Apr 5, 2012 8,030 5,772 Jun 12, 2013 #18 RevolutionaryTZ said: John Mnyika asionekane huko ! Click to expand... kwanini what have he done? tanzania ya leo siyo ile ya 1961 ambapo ilikua vigumu mtu kuwa na redio.
RevolutionaryTZ said: John Mnyika asionekane huko ! Click to expand... kwanini what have he done? tanzania ya leo siyo ile ya 1961 ambapo ilikua vigumu mtu kuwa na redio.
Godee jr JF-Expert Member Apr 17, 2012 1,781 2,372 Jun 12, 2013 #19 RevolutionaryTZ said: John Mnyika asionekane huko ! Click to expand... Kwani vipi. unaogopa utakosa pesa ya matumizi au
RevolutionaryTZ said: John Mnyika asionekane huko ! Click to expand... Kwani vipi. unaogopa utakosa pesa ya matumizi au
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Oct 28, 2010 27,263 16,287 Jun 12, 2013 #20 Hapa ni shwari naona mawe tu yamebaki! Now nipo kwenye mataa