Kimenuka ubungo

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
14,937
26,638
Kuna mapambano makali sana yanaendelea hapa Ubungo kati mgambo wa jiji& polisi vs Wamachinga wanao fanya biashara zao maeneo ya Ubungo. Ni nouma
 
Mkuu tatizo ni nini?? Daah afu ni jimbo la Mnyika hilo hawakawii kutafuta sababu hwa Magamba..
 
hapo amna mapambano wale machinga wa ubungo waoga na mara nyingi wako un-organized just is a short minutes policcm will take to clear the violence.
 
Serikali corrupt haikusanyi kodi huishia kufukuzana na wafanya biashara wadogo barabarani huko...(Mwl.Nyerere)
 
serikali ya kifisadi ikishindwa kukusanya kodi kwa matajili,itakuwa inakimbizana na wamachinga mabarabarani....
 
sasa hapo ubungo daaah? siwataumizana sana? mana strabag walivoifanya ile barabara nadhani wamachinga wanauhakika na siraha.ni kuinama na kuokota tu.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom