Kimenuka! Rais Putin atoa kitisho, asema anaweza kutumia nguvu za kijeshi kwa Marekani na NATO kutokuzingatia mistari miekundu (red lines) za Urusi

Europe has the opportunity to prove it won’t make the mistakes of the 1930s.
 
Sio kweli, Russia kaichukua Crimea na wote wamebaki kumuogopa.
Us walitaka kumtoa raisi Syria, Ila alivyoingia Russia tu US wakarudi nyuma
Us alitaka pia kumtoa Maduro kule venezuela, Ila alipoingia Russia tu US wakarudi nyuma
Us ni wanawaogopa russia
By then hawakuwa na maslahi Sana na Crimea,pia kama alivyosema Russia ni kwamba Crimea na Ukraine walikuwa na migogoro ya ndani kwa hiyo wakaomba msaada kwa ndugu zao.

Kwa muktadha huo huo Ukraine ana haki ya kuomba msaada wa washirika wake so Russia atulie.Any annexation itakuwa ni uchokozi.
 
Sasa unategemea nini Russia akitumia nuclear weapons.Hivi ninyi mnaona vita za kinyuklia ni maji maji eeh.Hivi unadhani utabaki salama.

Badala ya kuomba vita isitokee mnakaa kushindania nani bora zaidi.Haijalishi nani ni bora zaidi.

Ila nyuklia ikishaanza kutumika kwa wote USA na RUSSIA,tutatafuta pa kutokea.
Si shabakii nyuklia war.ila kwenye huu mgogoro Russia ndo anazingua na kutishia aman ya Dunia.
 
Marekani anapewa kiburi na NATO. bila ya NATO marekani hana lolote, sawa na bongo tu.
Mind you bila Marekani hakuna NATO kwani ipo pale kwa sababu ya financial support ya USA ambapo in all aspects mchango wa Wamarekani kwa operation za Nato hauwezi linganishwa na mwanachama mwingine yeyote wa jumuiya hiyo ambayo pasipo shaka ni mojawapo kati ya jumuiya za kijeshi zenye strong bond ya kumsaidia mwanachama yeyote iwapo atashambuliwa hasa hasa na akina Putin
 
Mind you bila Marekani hakuna NATO kwani ipo pale kwa sababu ya financial support ya USA ambapo in all aspects mchango wa Wamarekani kwa operation za Nato hauwezi linganishwa na mwanachama mwingine yeyote wa jumuiya hiyo ambayo pasipo shaka ni mojawapo kati ya jumuiya za kijeshi zenye strong bond ya kumsaidia mwanachama yeyote iwapo atashambuliwa hasa hasa na akina Putin

Na bila NATO marekani si chochote
 
Marekani anapewa kiburi na NATO. bila ya NATO marekani hana lolote, sawa na bongo tu.
Marekani bila NATO si lolote? Acha mahaba kijana.NATO ni Gunia la Marekani kujifichia ili aizunguke Urusi na Wala hakuna anachotegemea kutoka Washirika wa NATO.

Leo,Marais wa Latvia,Lithuania,Poland na Estonia wameiomba Marekani iongeze vikosi vyake kwenye nchi Hizo ili kuzihakikishia Usalama pindi Urusi ikianza Uvamizi wa Ukraine.

Je,Ulishawahi kuona mwanajeshi yeyote wa NATO akipelekwa Marekani kuisaidia Ulinzi Marekani dhidi ya kitisho chochote Cha Kijeshi?

Ni Wanajeshi wangapi wa NATO walioko Marekani? Kinyume chake,Marekani ina Wanajeshi zaidi ya 40,000 nchini Ujerumani,35,000 nchini Poland,5,000 nchini Lithuania,Estonia na Latvia.

Sio hivyo TU,ukiachilia kwa wanachama wa NATO,Marekani inawanajeshi 30,000 nchini Japan,Wanajeshi 40,000 nchini Korea Kusini. Kiufupi Siku Marekani ikisema inarudisha Wanajeshi wake wote nchini Marekani ni Ulinzi wa hatari Sana kwa mtu yeyote Kuvamia Marekani.
 
Vipi alifanya makuu? Au bado ni mikwara tu....maana red lines nyingi zilirukwa...
 
Back
Top Bottom