By then hawakuwa na maslahi Sana na Crimea,pia kama alivyosema Russia ni kwamba Crimea na Ukraine walikuwa na migogoro ya ndani kwa hiyo wakaomba msaada kwa ndugu zao.Sio kweli, Russia kaichukua Crimea na wote wamebaki kumuogopa.
Us walitaka kumtoa raisi Syria, Ila alivyoingia Russia tu US wakarudi nyuma
Us alitaka pia kumtoa Maduro kule venezuela, Ila alipoingia Russia tu US wakarudi nyuma
Us ni wanawaogopa russia
Cuba hajawahi kuacha ujamaa, warusi na wachina ni wajamaa japo si kama ule wa Mao na StalinAliye kwambia Urussi bado ya ujamaa nani?nchi za kijama saiv no mboli tu North Korea na Venezuela.
Si shabakii nyuklia war.ila kwenye huu mgogoro Russia ndo anazingua na kutishia aman ya Dunia.Sasa unategemea nini Russia akitumia nuclear weapons.Hivi ninyi mnaona vita za kinyuklia ni maji maji eeh.Hivi unadhani utabaki salama.
Badala ya kuomba vita isitokee mnakaa kushindania nani bora zaidi.Haijalishi nani ni bora zaidi.
Ila nyuklia ikishaanza kutumika kwa wote USA na RUSSIA,tutatafuta pa kutokea.
Kwa sasa ni ujaama jina, ila ukweli ni full capitalists!Cuba hajawahi kuacha ujamaa, warusi na wachina ni wajamaa japo si kama ule wa Mao na Stalin
Tumechoka vitisho vya Urusi. Afanye kweli. Au Urusi amwekee vikwazo vya uchumi Marekani.Mimi nipo upande wa UJAMAA WA KUJITEGEMEA (URUSI)
Mind you bila Marekani hakuna NATO kwani ipo pale kwa sababu ya financial support ya USA ambapo in all aspects mchango wa Wamarekani kwa operation za Nato hauwezi linganishwa na mwanachama mwingine yeyote wa jumuiya hiyo ambayo pasipo shaka ni mojawapo kati ya jumuiya za kijeshi zenye strong bond ya kumsaidia mwanachama yeyote iwapo atashambuliwa hasa hasa na akina PutinMarekani anapewa kiburi na NATO. bila ya NATO marekani hana lolote, sawa na bongo tu.
Mind you bila Marekani hakuna NATO kwani ipo pale kwa sababu ya financial support ya USA ambapo in all aspects mchango wa Wamarekani kwa operation za Nato hauwezi linganishwa na mwanachama mwingine yeyote wa jumuiya hiyo ambayo pasipo shaka ni mojawapo kati ya jumuiya za kijeshi zenye strong bond ya kumsaidia mwanachama yeyote iwapo atashambuliwa hasa hasa na akina Putin
Marekani bila NATO si lolote? Acha mahaba kijana.NATO ni Gunia la Marekani kujifichia ili aizunguke Urusi na Wala hakuna anachotegemea kutoka Washirika wa NATO.Marekani anapewa kiburi na NATO. bila ya NATO marekani hana lolote, sawa na bongo tu.