Kimenuka: Mawaziri na Wabunge ambao ni Team Membe kupukutishwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,296
217,298
Subpost 1 - - MAGAZETINI  Tazama kurasa za mbele za Magazeti Leo Machi 4, 2020 ( 800 X 640 ).jpg

Hii itaturudisha nyuma hadi mwaka 2015 wakati wa kura za maoni ndani ya ccm , ni nani na nani waliomuunga mkono ?
 
Hakuna waziri aliyekuwa team Membe acheni upotoshaji!
Mwaka 2015 kulikuwa na watu wawili tu ambao ndio ilikuwa inaaminika mmoja lazima awe rais. Watu hao ni Bwana Bernard Membe na Edward Lowassa.

Kwa kawaida ya binadamu kujipendekeza na kutafuta kukumbukwa,hawa watu wawili lazima watakuwa walijipatia wapambe wengi sana. Labda useme wameshamkimbia.
 
Vijana wa Membe wengi wako kwenye uDC.

Friends of Lowassa ndio walifanikiwa kukumbukwa baada ya kubadilika na kutomfuata Laigwanan kule Chadema.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom