Duduwasha
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 5,703
- 3,653
[h=2]Source Israeli Source Confirms Irans Fordow Nuclear Plant Exploded[/h]Israeli intelligence source confirms underground nuclear facility sustained major damage in a mega explosion last week.
By Chana Ya'ar First Publish: 1/28/2013, 11:15 AM
Qoms Nuclear Site
chanzo cha habari kutoka Israel kimekili na kimethibitisha kuwa Kituo cha nyuklia cha chini ya ardhi nchini Iran ambacho ni kituo endelevu kimepata uharibifu mkubwa katika "mlipuko mkubwa" ambao ulitokea wiki iliyopita.
Kituo hichokilikuwa na kama angalau centrifuges 2700 za uranium iliyorutubishwa, kituo hicho kipo chini ya mlima ulio karibu na mji wa Qom Iran.
Baadhi ya wafanyakazi 200 waliokuwa ndani ya kituo wakati huo, kulingana na ripoti iliyochapishwa Jumatatu na, gazeti la Times la Uingereza.
Ripoti rasmi ilinukuliwa nchini Israel ilisema "Sisi bado tupo kwenye hatua za mwanzo za kujaribu kutafakari ni nini kilichotokea na kupanua wa umuhimu wake." aliongeza kuwa ilikuwa bado haijulikani kama mlipuko ulikuwa ni "kitendo cha hujuma au ajali ya kawaida."
Chanzo hicho kilikataa kudhihirisha kama ndege ya Israel ilikuwa katika maeneo ya jirani wakati wa mlipuko.
Iran imekanusha kwamba hakuna mlipuko wowote uliotokea katika kituo, wakidai katika taarifa kwa shirika rasmi la habari IRNA kuwa ripoti ya mlipuko hiyo kuwa si ya kweli bali ni "propaganda za nchi za Magharibi."
Habari ya mlipuko huo iliripotiwa Ijumaa na tovuti ya nchini marekani WND.