Kimenuka: Israel Washambulia Mahandaki ya Hezbollah Kusini Mwa Lebanon

Huo mtambo hapo juu unatumika kuyasaka hayo mahandaki,na hao ni wahandisi wa israel wakiwa kazini,
hizo semi zimebeba self propelled gun kuelekea mpaka wa israel na Lebanon,
juzi askari wa israel 25 walivuka blueline kuingia lebanon kwa dakika chache,jambo lilofanya jeshi la lebanon kusogeza vifaru mpakani,
jana kuna njemba tatu za hezbullah zilitest kina cha maji kwa kuingia hadi eneo israel wanakochimbua kabla askari wa israel hawajawaona na kuwafyatulia risasi,jamaa wakatokomea,
jana hiyohiyo askari wa israel wakiwa kwenye jeep zenye kupachikwa heavy machine gun walikuwa patrol hapo mpakani ,kisha wakashuka kuendelea na patrol,waliporudi kwenye jeep wakakuta bunduki mbili zimechomelewa kutoka kwenye gari,haijulikani hizb waliingia vipi kuziiba,hata hivyo hali ya hewa huko ni ukungu mkali na itakuwa hezbullah waliwafanyia timing,

habari zingine inasemekana hezbullah imeandaa brigade 4 za askari 5000 kila brigade,jumla ni askari 20000,hawa kazi yao ni kupenya ndani ya israel iwapo vita itaanza na kuteka baadhi ya vijiji maeneo ya galilaya,
hizb wanadai hawahitaji tunnels kuingia israel na kwamba habari za tunels ni uzushi wa israel na ndo mana mpaka sasa wamegundua tatu tu na inasemekana ni tunnels za miaka ya nyuma,
hizbullah wanadai wataingia israel in case of war through barbedwire kama walivyofanya 2006.

Israel wanadai hizo tunnel walizogundua wametega mabomu na atakae ingia ,aingia on in own risk,

kazi ya kutafuta tunnels itaendelea kwa miezi kadhaa,
mi nadhani israel wanawaotea hizb,wakijisahau tu,wanapenya
 
Hizo brigade 4 za hizbullah inasemwa waliondoka kimya kimya lebanon kwenda iran ambako walipatiwa mafunzo maalumu ya inflitration into hostile environment na walirudi hivi karibuni,
wale askari wa lebanon waliopo mpakani,inasemekana ni hezb katika mavazi ya jeshi la lebanon
 
Kwaiyo hapo Israel ana jitetea Ila Hawa hizbullah ni hatari sana!
 
Hawa jamaa wamejenga hadi mpakani,sasa sijui mambo yakisala inakuaje.undefined
Dt-kat9XcAIPXHt.jpg:small
 
Hizo brigade 4 za hizbullah inasemwa waliondoka kimya kimya lebanon kwenda iran ambako walipatiwa mafunzo maalumu ya inflitration into hostile environment na walirudi hivi karibuni,
wale askari wa lebanon waliopo mpakani,inasemekana ni hezb katika mavazi ya jeshi la lebanon
Hii vita inaweza kusambaa middle East yoote .
 
Waziri wa Intelijensia na Usafiri wa utawala huo Yisrael Katz alitamka siku ya Ijumaa kwamba, huenda ikahitajika vikosi vya jeshi la Israel viingie ndani ya ardhi ya Lebanon kwa ajili ya kuzishughulikia njia hizo.
Endapo utawala wa Kizayuni wa Israel utaanzisha uchokozi na uvamizi dhidi ya Lebanon utaibua moto mkali wa makabiliano makali kati yake na Hizbullah.
 
ingekua vyema kama huyo kamanda wa istael angewaambia pia wayahudi waishio mpakani na Lebanon wahame maeneo hayo maana Hezbollah hawatokua wapenzi watazamaji tu wakati Israel ikishambulia hayo maeneo yaliyompakani kwa kisingizio cha kulipua mahandaki na wao watafaya kuelekea israel ASAP
Wewe unawapangia cha kufanya?Wameshaeleza hao watu wahame.Mimi niliPredict Israel lazima iingie ndani ya Lebanon ili kuendelea kuharibu mahandaki, ninyi mkawa mnabeza.Sasa nilichokihisi ndio kinaenda kutendeka!
 
Back
Top Bottom