Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Aisee hapa mjini tuwe makini mashirika ya umeme mengi kweli


Na ubaya wa mademu wa mjini hata akiwa wakala wa shirika la umeme hakuambii japo anajijuwa....siku ukianza kuumwa na kumshutumu anakuambia hata yeye alikuwa hajuwi. Kwa hasira na wewe kama hauna moyo unakwenda sambaza kwa wengine makusudi. Epukana sana na masista duu wa mjini, wanapitia changamoto sana ya kuishi maisha fake Instagram ili waonekane mastaa uchwara wa mtandaoni ndiyo maana kila kukicha wanagombania mabwana na kuandika siri zao hadharani.
 
zamaladi-2.jpg

hivi huyu Zama kabila gani si ana watoto wawili na Ruge?
ni lini tena wameajiriwa na Tanesco kusambaza umeme? au wa mafuta from BK?

kweli tumepitwa na wakati, kuna kipindi tulipewa Ratiba ya Harusi ya Ru.. na huyu Mama kuwa itafanyika BK (British Kingdom) jioni watatua kwa ndege watamalizia kempisky kumbe haikufanyika


Shirika la Tanesco ni la taifa, halina hodi wala taarifa....popote linapita tu kusambaza.
 
Hajaacha kibarua kwa kutaka bali kafukuzwa Dubai
Inasemekana alipata danga club ambalo ni mjeshi baada ya kumalizana nae jamaa alikataa kumpa chake
Ndio kuanza kugombana na kukamatwa kuwekwa ndani wote wakaambiwa kila mtu atoe pesa au ndani miezi miwili au wiki mbili,jamaa alitoa nasikia pesa ni ndefu
Milly alikaa mpk akamaliza kifungo na kufungishwa virago arudi kwao
C unajua nchi za wenzetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Vera si kwa udaku huu
 
Naona kimya kimyaaa InstagramTimu zimepoaaa kama maji mtungini. Wengine wamefuta post. Mange amemua kumuunga mkono Dimond anajikatia mauno ameacha siasa
 
Back
Top Bottom