Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,215
- 7,373
Aisee EAC Secretariat japo Ipo Arusha (TZ) lakini Watanzania tumeishia kubakia nafasi za chini (udereva, wafagizi, receptionist). Sasa Wabunge toka Uganda nao wamestukia chezo la wakenya kujazana humo.
Wabunge toka TZ wametulia Kama hakuna kinachoendelea, huku wakilamba posho zao bila bugudha
Wabunge toka TZ wametulia Kama hakuna kinachoendelea, huku wakilamba posho zao bila bugudha