Kimbunga cha JOBO chazidi kuikaribia Lindi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,000
9,861
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kimbunga “Jobo” kilichopo bahari ya Hindi kaskazini mwa kisiwa cha Madagascar.

Kimbunga Jobo kimeendelea kuimarika na kusogea kuelekea maeneo ya nchi yetu ambapo leo usiku wa kuamkia tarehe 23/4/2021 kimbunga hiki kinatarajiwa kuwa umbali wa takriban kilomita 410 kutoka pwani ya mkoa wa Lindi.

Hata hivyo, kimbunga Jobo kinatarajiwa kupungua nguvu yake kadri kinavyosogea katika pwani ya Tanzania. Aidha, izingatiwe kuwa uwepo wa kimbunga Jobo unatarajiwa kutawala na kuathiri mifumo ya hali ya hewa ikiwa ni pamoja na kusababisha vipindi vya ongezeko la mvua na upepo mkali katika maeneo ya ukanda wa Pwani.
 
1619164492330.png
DHARI

=====

Summary

  • Records show only two other tropical cyclones have ever made it to the shores of Tanzania since the 19th century: the "Zanzibar Cyclone" of 1872 and Cyclone Lindi of 1952. The two storms struck the nation 80 years and one day apart on April 14 and 15 of their years, respectively.
Tropical Cyclone Jobo is approaching Tanzania. According to CNN meteorologist Pedram Javaheri this may be the first landfall in Tanzania since 1952

The forecast has been corroborated by the Tanzania Meteorological Authority’s (TMA) statement which says Cyclone Jobo has continued to intensify and is moving towards the coast and tonight it is expected to be approximately 410 km from the coast of Lindi region.

However, a cyclone Jobo which is currently equivalent to a strong tropical storm with winds just shy of 100 kph (62 mph) expected to lose its strength as it moves along the coast of Tanzania.

Although Jobo is churning over the very warm waters (29°C), other environmental conditions should hinder any further development, weakening the storm prior to making landfall late this weekend.

However, the rarity of a tropical system affecting Tanzania is worth noting. Land falling cyclones are almost unheard of in Tanzania due to its close proximity to the equator, where the Coriolis force -- what causes the storm to rotate -- is weaker.

Records show only two other tropical cyclones have ever made it to the shores of Tanzania since the 19th century: the "Zanzibar Cyclone" of 1872 and Cyclone Lindi of 1952. The two storms struck the nation 80 years and one day apart on April 14 and 15 of their years, respectively.

Both storms brought significant devastation to the areas they impacted and took countless lives.

A weaker Tropical Cyclone Jobo is a welcome sight compared to the stronger predecessors, but the area in the potential impact zone remains one of the most populous on the continent.

Despite TMA warning that the cyclone would affect areas of Lindi and Mtwara, other forecast track by the JTWC does include both cities Dar es Salaam and Zanzibar to potentially be in the path of Jobo.

Nearly 200 mm of rainfall, or a month's worth, is expected this weekend along the Tanzanian coast as Jobo makes landfall.

In 2019 Cyclones Idai and Kenneth battered neighboring Mozambique on back-to-back months.

On average, tropical cyclones affect Mozambique once per decade, according to CNN meteorologist Brandon Miller, and only four have ever made landfall with category 3 equivalent or stronger winds since 1950.


 
Dar es Salaam. The Tanzania Meteorological Agency (TMA) have said a tropical cyclone “Jobo” which has appeared in the Indian ocean, may impact the country's weather systems causing strong winds and waves especially in the coastal belt of Lindi and Mtwara regions.

The cyclone is currently in Madagascar heading north in the Indian Ocean.
 
Mkuu shukran kwa taarifa ila kwa utitiri huu wa Manabii nchini huyo "JOBO" na MAROHO yake atakewa katika jina la Yesu Kristo na hakika nchi yetu itabaki kuwa salama.

Ameen...
 
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kimbunga “Jobo” kilichopo bahari ya Hindi kaskazini mwa kisiwa cha Madagascar.

Kimbunga Jobo kimeendelea kuimarika na kusogea kuelekea maeneo ya nchi yetu ambapo leo usiku wa kuamkia tarehe 23/4/2021 kimbunga hiki kinatarajiwa kuwa umbali wa takriban kilomita 410 kutoka pwani ya mkoa wa Lindi.

Hata hivyo, kimbunga Jobo kinatarajiwa kupungua nguvu yake kadri kinavyosogea katika pwani ya Tanzania. Aidha, izingatiwe kuwa uwepo wa kimbunga Jobo unatarajiwa kutawala na kuathiri mifumo ya hali ya hewa ikiwa ni pamoja na kusababisha vipindi vya ongezeko la mvua na upepo mkali katika maeneo ya ukanda wa Pwani.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom