Dio
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 1,274
- 158
Mambo vipi wakubwa,?
Natumaini wote ni wazima wa Afya,ıla kama kuna mwenye kusumbulıwa na Ugonjwa tunamwomba MUNGU ilı apone mapema
Ndugu zangu naomba mwenye nyımbo ya Kıdumu inaitwa kimbiza mwızi na ya jamaa moja anaitwa Mr flavour unaimbwa sawasawa sawasawa
sıjui jına la wımbo,yeyote mwenye lınk ya nyımbo hizo naomba.
Asanteni na Tuwe na siku nzuri.