Kimbembe...!

Jiulize je niwangapi kwatongoza, then jibu jipe mwenye na ulitafakari...pole sana and welcome to the world.
 
...Enhe WoS, leteni darasa nyie wa huko upande wa pili...

...Utamwambia Mumeo?
mume simwambiiiiiiiiiiiiiiii mbona ya nyumba ndogo hasemi.....

...Utaacha kazi?
kazi siachi...ndio napiga mzigo kabisa even overtime.....

...Utakubali "yaishe kiofisi"?

nayamalizia huko huko..... te te te
 
Mbu hebu hiyo senario tuigeuze, Tufanye mkeo anatakwa na executive wake, wewe kama mume kakueleza na kuomba ushauri ungemshauri nini??? au hajakuambia na ukajua itakuwaje? ukizingatia anapokea kitita cha nguvu, usafiri wife kanunua na trip kibao.
 
jamani mambo mengine tuyafumbie macho! yanatisha lol
 
Mbu hebu hiyo senario tuigeuze, Tufanye mkeo anatakwa na executive wake, wewe kama mume kakueleza na kuomba ushauri ungemshauri nini??? au hajakuambia na ukajua itakuwaje? ukizingatia anapokea kitita cha nguvu, usafiri wife kanunua na trip kibao.

wewewewewe! mambo mengine ni bora kuyaacha yalivo!
 
Mbu hebu hiyo senario tuigeuze, Tufanye mkeo anatakwa na executive wake, wewe kama mume kakueleza na kuomba ushauri ungemshauri nini???

...ningemuuliza yeye binafsi anafikiria uamuzi gani wa busara? kisha nitashauriana naye jinsi ya kukabiliana na hilo.

au hajakuambia na ukajua itakuwaje? ukizingatia anapokea kitita cha nguvu, usafiri wife kanunua na trip kibao.

...nitamuuliza kwanini hakuniambia kuhusu hizo harassments anazozipata, kisha nitaamua baada ya majibu yake.

WEWE JE UNGELIFANYAJE?
 
...Wengi wape, naona hakuna anaye support huyu Executive ashikishwe "adabu"...! I bet ndio kamchezo kake...

I wonder inakuwaje unasikia kwenye kampuni/taasisi/wizara/hoteli fulani kuna bosi mwanaume anawatafuna sana wafanyakazi wake wa kike...

mfano; https://www.jamiiforums.com/habari-...eacock-hotels-na-unyanyasaji-wa-kijinsia.html

inategemea aina ya kampuni/shirika/taasisi nk. unayofanya kazi inaheshimu vipi sheria za ajira. aidha inategemea pia nchi ambayo upo. kama upo kwenye sehemu ambapo sheria za kazi na haki za mfanyakazi zinaheshimiwa basi weka "ngumu" kistaarabu na huyo pedejee (ceo) hawezi kukulazimisha kwani anaweza umbuka.

ila kama upo mazingira ambayo sheria za ajira na haki ni hadithi za alinacha wewe "mega" ila usionyeshe kalufundi ili huyo ceo akuone si mali kitu na ataacha kukumind. ila ukionyesha lufundi umeunywa wa chuya!
 
Mbu hebu hiyo senario tuigeuze, Tufanye mkeo anatakwa na executive wake, wewe kama mume kakueleza na kuomba ushauri ungemshauri nini??? au hajakuambia na ukajua itakuwaje? ukizingatia anapokea kitita cha nguvu, usafiri wife kanunua na trip kibao.

kuna mambo ya kumuuliza mwenza lakini haya ya kutakiwa ofisini
nadhani ni bora kila mtu ayamalize kivyake vyake kwani sumu yake
ni kali na huko mbele ya safari yanaweza yakasababisha kutokuelewana
kati ya wanandoa.
 
aaaah na ukikosa kazi sehemu nyingine itabidi uachie tu...??
Tutapambana hadi kieleweke hata kama ni kumtegeshea PCCB!
( Ila hiyo nayo sijui itaniweka wapi mbele ya waajiri wengine maana si unajua tena mambo ya reference letters na nini!!)
On serious note... sidhani nitakosa kazi sehemu nyingine!
 
...wewe "mega" ila usionyeshe kalufundi ili huyo ceo akuone si mali kitu na ataacha kukumind. ila ukionyesha lufundi umeunywa wa chuya!

...:D ha ha ha haaa... Kafara duuuuh!, na kweli mkuu....!
 
Bosi wa namna hiyo mnacheza na mamsapu tu,unampa ukweli halisia.Mnapanga na huyo executive lady wako mna meet sehemu then mkeo anaibuka anakuletea shobo haswa kama vile kashtukia ishu.
But hakikisha kua huyo executive lady asijue kama ni chezo mmecheza wewe na mkeo.
Ukiwini hiyo JOB UNABAKI NAYO NA RESPECT VILE VILE YAANI
 
...hapo (wife) asichelewe kwenye traffic lights na road queuings...anaweza kuta 'karamu ishaliwa' likazuka tifu jipya!
 
Mimi nilichoelewa tu ni kwamba huyo boss hana mvuto. Otherwise huu uzi wala usingekua hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom