KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,680
- 8,867
Ndugu watanzania nimatumaini yangu nyote hamjambo heri ya mwaka mpya!
Nimeona nije hapa kuwambia hali iliyopo Zanzibar si yakawaida ni tete maana inapandikizwa chuki haijawahi kutokea na zanzibar kuna tabaka jingi la kichotara hivyo msije kushangaa kunatokea mauaji ya kikabira na wanaosababisha si wengine ni CCM chonde chonde Rais John P Magufuli tumia mda wako kuzui hili!
Mwalimu Julius Nyerere alisema mkianza kusema sisi ni wazanzibar na wale ni wazanzibara itafika siku mtajikuta hata nyie wazanzibari mabaguana ndo haya leo yantokea CCM wanachochea hizi vurugu!