Kimara Suka, Dar: Watu wawili wamefariki na nane kujeruhiwa kufuatia ajali iliyohusisha magari matatu

JF ina vilaza sana, chanzo cha habari kinasema breki ilifeli sasa walitaka iweje? Haya mambo ya ajali hayana formular unaweza kuwa mahali unakunywa zako Jack Daniel ghafla unashangaa gari limekuvaa limekuvunja miguu yote.

Cha msingi ni kuomba tu Mungu kutuepusha
pole sana
 
Unazuaiaje watu kuvuka pale na hizo gharama za kuweka wavu na vivuko daraja kwa kila sehemu inawezekana? maana sio mara moja na sehemu moja ajali kama hii ya leo imetokea ujue chief?
Sasa kuweka matuta na mataa njia nzima ya highway na kuweka vivuko kipi ni viable?

Daraja unaweka mara moja linakaa for years daraja la manzese toka Mkapa akiwa madarakani mpaka leo lina miaka mingapi?
 
hatujajua plan zao hadi labda huko barabara ikamilike maana kuna plan ya mwendokasi hapo katikati
Sawa wataweka mwendokasi ila daraja haliathiri mwendo kasi mkuu. Kila baada ya kituo wakiweka cross-over bridge tu tatizo limeisha hamna haja ya kujaza mataa yasio na mpango! Taa zikitoka za ubungo zije za mbezi mwisho Junction pale ya kwenda Goba-Moro-Ubungo-Kinyerezi- inatosha!
818FFF70-7577-4713-B0D7-976E84F81B49.jpeg
 
Sawa wataweka mwendokasi ila daraja haliathiri mwendo kasi mkuu. Kila baada ya kituo wakiweka cross-over bridge tu tatizo limeisha hamna haja ya kujaza mataa yasio na mpango! Taa zikitoka za ubungo zije za mbezi mwisho Junction pale ya kwenda Goba-Moro-Ubungo-Kinyerezi- inatosha!
View attachment 2098279
TAA ZIMESHAWEKWA SASA SIJUI WATAZITOA KILA KITUO? NA WABONGO TULIVYO WABISHI TUTAONA UVIVU KUPANDA DARAJA LIKIWEKWA
 
Sasa kuweka matuta na mataa njia nzima ya highway na kuweka vivuko kipi ni viable?

Daraja unaweka mara moja linakaa for years daraja la manzese toka Mkapa akiwa madarakani mpaka leo lina miaka mingapi?
WELL UKO SAWA, KWA PLANI ZILIZOPO SIONI MADARAJA YAKIJENGWA SASA HIVI LABDA BAADAE HUKO TATIZO LIKIWA SUGU
 
WELL UKO SAWA, KWA PLANI ZILIZOPO SIONI MADARAJA YAKIJENGWA SASA HIVI LABDA BAADAE HUKO TATIZO LIKIWA SUGU
Tatizo tayari ni sugu ila shida ya viongozi wetu hawako proactive. Huwa wanapenda sana kuwa Reactive. Tatizo litokee ndio wakurupuke kuunda tume za uchunguzi!

Kujiongeza tu kuwa madaraja ndio solutionya kudumu hawataki
 
Hilo eneo kuna kituo,so obvious huwezi sema eti boda boda au bajaji zisiwepo.
Kwa fikra zangu nafikiri vitu vya daladala viwe kama extensions pembezoni mwa barabara kuu na watu wasogelee eneo la kupandia endapo tu gari imeshafika ila kwa waiting time wakae pembeni kabisa ya kituo
 
Back
Top Bottom