Hivi wewe unaamini kanda ya ziwa hakuna mizigo? Kwa taarifa yako kanda ya ziwa kuna mizgo mingi tu pia uganda atatumia treni hiyo ndo maana JPM akajenga daraja la busisi! Pia wasafirishaji wa mizigo ya kawaida kama mifugo n.k watatumia hiyo treni! Huwezi kutuambia treni hiyo haina wateja tuambie hayo mataifa mengine huwa yanafanyaje? Naukumbuke treni hii itaunganisha majiji makuu matatu dar,dodoma na mwanza huoni potential au unaongea tu ukiwa na nongwa zako!Bila mizigo sgr itakuwa na maana gani? Unadhani uwekezaji wa sgr ni sawa na mwendokasi? Nasema hivi mradi utafeli kama ilivyofeli mingine..
Bila kujiendesha kwa faida nani atatoa ruzuku kupoteza pesa za umma? Tusubirie mda utasema