masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 17,882
- 13,171
- Thread starter
- #41
Mkuu tunachosema jamaa ameacha uongozi in a bad taste.Mkuu, hakuna anaetetea uovu na hakuna anaefurahia ukandamizaji au uonevu.
Nchi hii imewahi kupitia nyakati ambapo wafanyakazi hewa wanalipwa mishahara yet hakuna madawa kwenye hospitali za umma, haikuwa sawa na haitakuwa sawa.
Tukemee matendo mabaya, na tukubatie mema yaliyofanyika ili kizaza cha sasa na kijacho wawe na bechmark ya rejea kwa mema wayaige na kwa mabaya wasiyafuate.
Tanzania ni kubwa kuliko sote, na hatima ya Tanzania ni kubwa kuliko sote. JPM ametangulia mbele ya haki, itoshe kusema alipigania mkataka wa Bart Airtel ukawa surface kwa maslahi ya Tanzania.
GoT kuwa sehemu ya executive managament ya Twiga Corp haikuwa kwa manufaa ya familia yake ila familia Tz; kwa haya iko haja kumshukuru na kuenzi alichofanya.
Upendeleo kimaendelei na nyadhifa, ukabila, unyanysaji, utesaji(wasiojulikana), hivi vitu vimachafua utendaji wake.
Hata umpambe vipi.