Mkuu, hawa ndio wale kasuku wa Kaseja kama hufahamu, hapa anampigia debe kipa wao huyu ili achaguliwe tena timu ya taifa.Afukuzwe amekosa penati ya ngapi na afukuzwe kwa lipi,ebu tuambie mkuu?
Ili awe hivyo, tusubiri hadi naye aipeleke Taifa Stars CHAN.Mi naona afadhali hata huyu wa sasa kuliko Maximo Maxime
Mi naona afadhali hata huyu wa sasa kuliko Maximo Maxime
Mkuu, hawa ndio wale kasuku wa Kaseja kama hufahamu, hapa anampigia debe kipa wao huyu ili achaguliwe tena timu ya taifa.
Afukuzwe amekosa penati ya ngapi na afukuzwe kwa lipi,ebu tuambie mkuu?