fidel castro wapili
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 3,309
- 2,719
Wamekufa wanajeshi wengi lakin ni siri. Wakisema ukweli wanajeshi wao wafaanza kuogopa kusonga mbele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekuwa unajua vitu hata usingeandika upupu hapa.Hivi Kim Jong Un amefanya nini cha kumtingisha USA?Kipindi cha Obama na Trump ni kipi ambacho Kim ameonesha ubabe?Mara ya mwisho N.korea kurusha makombora bahari ya Japan ni Lini? Lini N.korea wamekorofisha S.Korea.Ukiangalia sasaivi Kiduku kaufyata.Adabu imekuwepo.Halafu kiduku alikuwa na utoto,saiz amepata ukubwa hana ujinga ujinga.
Kuhusu Iran ningekuona wa akili kama angalau angeuwa wanajeshi 5 tu wa marekani.Kushambulia kambi halafu usiue hata panyabuku huo nao ni ubabe?...wababe walikuwepo Cuba huko ,Urusi na Sio huko unakosema Iran wala wapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app