Kim na Rouhani wametuonyesha kuwa USA si lolote wala chochote, hawa ndio viongozi walionikosha tangu 2017

craq

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
859
1,864
Tokea Rais Trump achukue madaraka amechezewa mno na amedhalilishwa mno na hawa majabali wawili

1) Senior Kim Jong Un

2) Comrade Hassan Rouhani

Kim alitishiwa mno kwa mikwara tofauti tofauti na michambo ya Rais Trump huko Twitter lakini huyu mwamba alikuwa anafurumusha makombora kama hana akili vizuri kwenye anga la Japan na huko baharani, katest sana nyuklia lakini Trump amekuwa akiongea huko Twitter hadi kaomba meza ya mazungumzo lakini huyu Senior amekuwa mjeuri mno na mwenye maneno ya shombo kwa Trump

Hassan Rouhani jabali lingine linalotikisa na kumkosesha usingizi Trump licha ya vikwazo lukuki bado jamaa anafurumusha makombora kwenye kambi za Marekani na kuteka nyambizi na kutest silaha kwa miaka 4 hii Trump ameishia kulalamika kwenye Twitter huku Kim na Rouhani wakizidi kuwa radical kila kukicha wakitunishiana misuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..
180809-iran-north-korea-us-trust-feature.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungekuwa unajua vitu hata usingeandika upupu hapa.Hivi Kim Jong Un amefanya nini cha kumtingisha USA?Kipindi cha Obama na Trump ni kipi ambacho Kim ameonesha ubabe?Mara ya mwisho N.korea kurusha makombora bahari ya Japan ni Lini? Lini N.korea wamekorofisha S.Korea.Ukiangalia sasaivi Kiduku kaufyata.Adabu imekuwepo.Halafu kiduku alikuwa na utoto,saiz amepata ukubwa hana ujinga ujinga.

Kuhusu Iran ningekuona wa akili kama angalau angeuwa wanajeshi 5 tu wa marekani.Kushambulia kambi halafu usiue hata panyabuku huo nao ni ubabe?...wababe walikuwepo Cuba huko ,Urusi na Sio huko unakosema Iran wala wapi.

Haaa kwahiyo mtu akija akaitia moto nyumba yako utamchekea tu kwa sababu watoto wako hawajafa kwenye hiyo nyumba, hivi unajuwa gharama iliyo tumika kujenga hiyo kambi iliyo haribiwa?
 
Ungekuwa unajua vitu hata usingeandika upupu hapa.Hivi Kim Jong Un amefanya nini cha kumtingisha USA?Kipindi cha Obama na Trump ni kipi ambacho Kim ameonesha ubabe?Mara ya mwisho N.korea kurusha makombora bahari ya Japan ni Lini? Lini N.korea wamekorofisha S.Korea.Ukiangalia sasaivi Kiduku kaufyata.Adabu imekuwepo.Halafu kiduku alikuwa na utoto,saiz amepata ukubwa hana ujinga ujinga.

Kuhusu Iran ningekuona wa akili kama angalau angeuwa wanajeshi 5 tu wa marekani.Kushambulia kambi halafu usiue hata panyabuku huo nao ni ubabe?...wababe walikuwepo Cuba huko ,Urusi na Sio huko unakosema Iran wala wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo ..Kim hadi mwaka Jana bado alikuwa anaendelea kufanya project zake za ICBM tena kwa kiburi cha hali ya Juu....

Mbali na kuendelea kurusha maroketi Bali Dogo Kim kakutana Mara mbili na babu Trump lakini Dogo kamgomea Babu mapendekezo yake ya kuachana na urushaji wa maroketi.Kwa hiyo Dogo hapangiwi Cha kufanya.
 
Ungekuwa unajua vitu hata usingeandika upupu hapa.Hivi Kim Jong Un amefanya nini cha kumtingisha USA?Kipindi cha Obama na Trump ni kipi ambacho Kim ameonesha ubabe?Mara ya mwisho N.korea kurusha makombora bahari ya Japan ni Lini? Lini N.korea wamekorofisha S.Korea.Ukiangalia sasaivi Kiduku kaufyata.Adabu imekuwepo.Halafu kiduku alikuwa na utoto,saiz amepata ukubwa hana ujinga ujinga.

Kuhusu Iran ningekuona wa akili kama angalau angeuwa wanajeshi 5 tu wa marekani.Kushambulia kambi halafu usiue hata panyabuku huo nao ni ubabe?...wababe walikuwepo Cuba huko ,Urusi na Sio huko unakosema Iran wala wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huko USA unaishi jimbo gani mkuu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbali na kuendelea kurusha maroketi Bali Dogo Kim kakutana Mara mbili na babu Trump lakini Dogo kamgomea Babu mapendekezo yake ya kuachana na urushaji wa maroketi.Kwa hiyo Dogo hapangiwi Cha kuganya.
Ndio namshangaa huyo Jamaa anataka kutunywesha chai ...eti Kim kazibitiwa!!!!! hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha natamani hii content yako waione pro NATO wote na USA

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Siku zote Marekani hua anapigana Vita nyepesi Sana.
-Kwanza atakutumia wachunguzi wa silaha Kupitia UN ,hawa huwa wapelelezi wa US,humpa Siri za maeneo muhimu ya kijeshi.
-pili atakudhoofisha kiuchumi,vikwazo
-tatu atakuja na washirika kupigana na kinchi kimoja kilichochoka kwa vikwazo,atakuja na kina NATO wa washirika wengine.
-nne hapigani na nchi yenye uwezo wa kurudisha,kujibu,sasa North Korea anaweza kurudisha Hadi ndani ya US hasa ukizingatia mifumo ya ulinzi dhidi ya makombora ya USA ni chujio Basi ndo anaogopa zaidi.Irani katuonesha Hilo,maana mrusha makombora wa Iran alikua anachagua tu apige jengo gani Kisha anabonyeza tu.
Sasa kwa Kim Iran ni Cha mtoto,kwa hiyo Marekani Vita za namna hii hawataki kabisa,wao Vita za ujanjaujanja tu na NATO kwa Kim waligoma kumpa tafu Mzee Trump,akaenda peke yake na meli zake halafu akapiga U turn.
Kim HAWEZEKANI.vikwazo vimeshindwa,kupiga IMESHINDIKANA,majadiliano imeshindikana.
 
Back
Top Bottom