Kim kumponda Trump na Israel juu ya Yerusalemu, ni kutangaza uadui na Israel

King0001

JF-Expert Member
Oct 31, 2017
203
500
Pyongyang imesema kuwa utambuzi huo wa Yerusalemu kama mji mkuu wa Israel inadhihirishia jamii ya kimataifa ni yupi mvurugaji wa amani.

Kwa mujibu wa taarifa ya hivi karibuni ya KCNA, NK "inashutumu sana" hatua ya Marekani kuitambua Yerusalemu kama mji mkuu, na inaonesha "sapoti na ushirikiano kwa Wapalestina na Waarabu wanaojitahidi kutafuta na kupata haki zao za halali."

Mawazo yangu:
Habari hiyo ambayo imeripotiwa na vyombo vingi vya habari ikiwemo The Times of Israel ni mbaya mno kwa Waisrael na ni salamu ya uadui kwa Israel. Pia yaonesha namna gani Kim anavyojiamini. Israel, inayofikirika kuwa wako njema zaidi kiakili duniani na kijeshi, imeshindwa kujibu mapigo ya Kim hata kwa maandishi au press release!

Links:

N. Korea condemns ‘mentally derange dotard’ Trump over Jerusalem

N. Korea calls Trump 'mentally deranged dotard' over Jerusalem - Vanguard News

NKorea condemns 'dotard' Trump over Jerusalem - The Manila Times Online

SEOUL, South Korea — North Korea has lambasted US President Donald Trump for recognising Jerusalem as Israel’s capital, renewing its description of him as a “dotard” in a statement released Saturday on state media.

“But this move clearly shows to the whole world who is the destroyer of world peace and security, pariah and rogue in the international community,” he said, using epithets usually reserved for the North.

According to the latest KCNA statement, the North “strongly condemns” the US move to recognise Jerusalem as capital, and expressed “firm support and solidarity for Palestinians and Arab peoples struggling to win their legitimate rights.”
 

Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,715
2,000
Aandamane basi na yeye maana hana la kufanya zaidi ya domo kaya Waarabu wote kwa ujumla hawana la kufanya au awasaidie nae aingie aibu. Kama anaona hamna nchi inayoitwa Israel aende chooni anye alale
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom