Kim Kardashian aomba talaka kutoka kwa Kanye West baada ya miaka 6 na nusu ya ndoa

Na madeni anayokiasi gani? Hiyo ni gross je net amount ni kiasi gani?
Nikiongea 750M za Kardashan na 1.2 billion za Kanye West zote ni net worth zao boss. Google na Forbes hawana muda Wa kuchambua unadaiwa na unadai kiasi gani. Ni kama mfano wakisema Jef Bezos ni tajiri namba moja duniani with net worth ya 160 bln dollars , halafu uulize na madeni yake ni kiasi gani, haiji.

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
mfaranyaki huku na Hollywood wapi na wapi Best! But thanks to internet mambo yote unaweza kuyanyaka kirahisi kabisa kama vile uko mamtoni jamaa kahama nyumbani miezi sasa kanunua nyumba hukooooo maeneo ya wazungu huko kuwaona weusi ni nadra sana.

Mrembo alikuwa akienda kumuona na kumsaidia usafi pia maana tetesi zinadai hata kutandika kitanda chake hatandiki. Jamaa ana tabia ya kununa nuna bila sababu na alishampiga marufuku mama mkwe asikae na wanawe bila sababu ya kueleweka.

Haijulikani kama hii divorce itakuwa kimya kimya ama itavuma kugombea mali, watoto na assets nyingine muhimu.
Mrembo unamaanisha Kim K?

Haahaa Kanye kichwa chake masonic wamelala nacho mbele...( joke)

Hivi kwanini alivurugika kichwa huyu jamaa??

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Yes Kim K, sijui kama ni kweli ila inadaiwa kichwa kilivurugika baada ya kifo cha mama yake na juhudi za watu wengi kumsaidia ikiwemo Kim K ziligonga ukuta kwa yeye kukataa kuonana na hao wataalamu.

Donda West mbona kafa kitambo sana?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Miaka 6 ya ndoa na bado wanaachana uchawi upo
Ukioa/ ukiolewa then ndoa yako ikatimiza muongo 1 shukuru Sana Mungu ... Wengi ndoa zao zimeshindwa kufikia hiyo level ya miaka
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
  • Nzuri
Reactions: BAK
Si kuna watu wanamsimamia Mkuu? Sasa unadhani huyo mkewe na rafiki zake wa karibu WALIKUKURUPUKA tu from nowhere kutaka kumsaidia tatizo lake hilo la kuvurugika kichwa? Ana tatizo tena kubwa tu Mkuu kama lisiposhughulikiwa linaweza kuwa kubwa zaidi na hakuna anayejua repercussion yake.
Mimi naonaga Kama anafanya drama tu ... Mtu kavurugika kichwa huku una project kibao zinazo zidi kumsingizia mkwanja !?
 
Back
Top Bottom