Kim Jong Un’s Uncle Executed

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Aug 25, 2010
9,539
5,898
[h=1]North Korea Says Kim’s Uncle Executed[/h]
13korea_span-articleLarge.jpg
Li Xin/XinHua, via Associated Press
Jang Song-thaek, Kim Jong-un's uncle, in Beijing in 2012.

SEOUL, South Korea — North Korea announced early Friday it had executed the uncle and one-time mentor of its top leader Kim Jong-un, calling him a traitor.
The announcement, reported by the official Korean Central News Agency, said the uncle, Jang Song-thaek, was put to death on Thursday after a special military trial.
The execution came less than a week after Mr. Jang, who was more than twice Mr. Kim’s age, was dismissed from the ruling party and arrested in a surprise purge that unnerved neighbors of North Korea, one of the world’s most hermetic and secretive countries
[Korean Central News Agency]

Hichi kitoto kimeanza kuua wazazi na walezi, Aluuuu
Kikulacho ki nguoni mwako, asingemuua huyo mjombake, basi mjombake angemuua yeye kwa kushirrikiana na Marekani.
Dawa ya wasaliti ni kifo tu, haswa yanapokuja maslah ya taifa.
Ukikamata muuza unga nyonga, haramia kama yule mbeba matofali ua tu, walioibiaa BOT, ua tu, wahujumu ucvhumi wa kila namna, ua tu....
China isingekuwa inanyonga leo isingefika hapo ilipo.
Ili nchi iendelee inahitaji watu wenye discipline ya hali ya juu na wachapakazi.
 
Thou shall not kill!!!!!!!!!!!!!
 
Tz ni bora nchi tuwe maskini miaka yote kuliko kuua mtu mmoja anayefanya upuuzi mahala fulani na kucheza blander za rushwa.
 
Tz ni bora nchi tuwe maskini miaka yote kuliko kuua mtu mmoja anayefanya upuuzi mahala fulani na kucheza blander za rushwa.

hujasomeka mkuu

unataka tuwe maskini miaka yote kuliko kuua mmoja anayefanya upuuzi na kucheza blunder na tushwa?
 
hujasomeka mkuu

unataka tuwe maskini miaka yote kuliko kuua mmoja anayefanya upuuzi na kucheza blunder na tushwa?

Tz tunaogopa kuua wacheza blander wanaojifaidisha wao peke yao, tunaona ni kheri tuwe maskini nchi nzima miaka yote kuliko kumnyonga Mpuuzi mmoja anaesababisha
 
NOTED,BECAUSE HE WAS A TRAITOR,, HE SOFTLY AND PEACEFULL DESERVE "DEATH" to serve millions securities and growth of a national
 
Tz tunaogopa kuua wacheza blander wanaojifaidisha wao peke yao, tunaona ni kheri tuwe maskini nchi nzima miaka yote kuliko kumnyonga Mpuuzi mmoja anaesababisha

Wanaopaswa kuua ndio hao hao wacheza blander
 
r

1 OF 5. Jang Song Thaek, with his hands tied with a rope, is dragged into the court by uniformed personnel in this December 13, 2013 picture taken from Rodong Sinmun December 12, 2013 and released by Yonhap.
CREDIT: REUTERS/YONHAP
 
Huyu mtoto kakosea sana; huyo mjomba wake alikuwa anajua mengi sana kuliko yeye mwenyewe kwa vile amekuwapo tangu walikotokea hadi walipofika hapo walipo. Alitakiwa amtumie vizuri tu lakini nadhani kakurupuka ili kuonyesha nguvu zake. Mzee alikuwa akimshauri apunguze makali ya ubabe ili wafuate mkondo wa China kukuza uchumi wao, lakini dogo ambaye bado anaishi ndotoni akaona huyo ni traitor.

Ila hata hivyo kumbe ni kweli kuwa wanawake hawaaminiki kwa vile chanzo cha yote ni kutoka kwa mkewe wa miaka mingi. Sasa mama anabaki mjane kwa umbeya wake mwenyewe.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom