Kim Jong Un: Rais wa North Korea ni kweli kawa cloned au zile plastic surgery anazofanya afanane na Babu yake?

Da Vinci XV

JF-Expert Member
Dec 7, 2019
3,837
6,372
Wasaalam,

Uvumii huu uliibuka zaidi mwaka jana
Vyombo vya habari vya serikali vilitoa picha na video zikimuonyesha Raisi huyo wa korea kaskazini katika kiwanda cha mbolea ,
Huku wakati ule kukiwa na ripoti zinazozidi kuzagaa katika mitandao ya kijamii kuwa labda Huenda Raisi huyu alikuwa amekufa

Screenshot_20210228-100927.png

RAIS KIM JONG UN

Sasa wavuti mbalimbali zikatoa picha, tofauti tofauti zinaonyesha mabadiliko katika uso wake, nywele na meno ikilinganishwa na sura za zamani

Lakini kuna maoni kwamba baadhi ya picha kwa kweli zimetengenezwa

Drama hizi zilizuka baada ya Raisi huyu kijana kupotea kwa ajabu mwaka jana kwa siku 20 nadhani mnakumbuka mwaka jana swala hili Lilijadiliwa sana mitandaoni

Websleuths, walionyesha picha zenye tofauti kidogo kwenye pua ya Kim Jong-un , mikunjo ya uso, meno, Lips,Upunde wa nywele hapo kwenye Paji ,na masikio
Ambazo zilitofautiana kabisa na za zamani

Ikaonyeshwa kuwa pua yake ni mviringo kidogo tofauti na picha za mwanzo

Picha nyingine iliyoripotiwa inaonyesha meno ya Kim yakionekana tofauti na ya mwanzo.
Lakini wengine wakapinga na wakasema meno yaliyonyooka yanaweza kutengenezwa kwa urahisi tu.

Screenshot_20210228-101417.png

Wengine walimnasa kwenye nywele zake, ambazo zinaonekana kuwa na Upinde mpana katika picha za hivi karibuni , lakini ikapingwa ikasemwa hii inaweza kuwa kazi tu ya kinyozi mwenye ujuzi.

Kuna skendo nyingine pia kuhusu masikio yake kuwa tofauti
Lakini uvumi huo pia ulipingwa vikali

Screenshot_20210228-100127.png

Mnamo mwaka wa 2017, Sun Online walitoa picha za dikteta huyo akiwa kwenye majaribio ya kombora ambazo ni tofauti

Walakini, wengine wanaamini kwamba sahivi, muonekano huu umeonekana kwa sababu Kim halisi tayari amekufa na huyu wa sasa ni copy yake.

Mbunge wa zamani Louise Mensch alijiunga kwenye mjadala huo, na akatweet

"Meno, upinde wa midomo(lips,) na vingine ni Tofauti kabisa"

Aliongeza:

"Sio mtu yule yule. Lakini haitajadiliwa"

"Sijui ikiwa itatufaa kwenda pamoja, au laah, lakini hawa wawili hawafanani."

Screenshot_20210228-100617.png

Lakini Daily Mail inaripoti picha ambazo Bi Mench alishiriki zinaonekana kuwa si sahihi na mbaya

Ilikuwa inshu kubwa na madai yalikuja wakati kiongozi huyo wa Korea Kaskazini alipokosa tukio la hali ya juu ambalo Rais alitakiwa kuwepo

Hakuhudhuria wakati Urusi ilipompa medali ya kuashiria kumbukumbu ya miaka 75 ya ushindi dhidi ya mjerumani na Nazi.

UNAHISI NINI??

PICHA za Kim Jong-un zilizoachiliwa siku 20 baada ya kutoweka na kushangaza zimeibua uvumi

Screenshot_20210228-101318.png

Baadhi ya nadharia zinasema kuwa mara ilibidi iwe hivi kwa sababu ya afya mbaya ya kiongozi huyo, au hata anaweza kuwa amekufa kabisa ,wakati wengine walihoji ikiwa kutokuwepo kwake ni kipindi cha kusubiri kukaa fiti baada ya Plastic Surgery

Na kama Ujuavyo Rais huyu nguli, anaidaiwa kujibadilisha Sura ili afanane na Babu yake Mpambanaji wa Taifa

Na nchi hizi za Korea Kusini na Kaskazini ni vinara wa Plastic Surgery

Screenshot_20210228-101522.png

Mwanaharakati wa haki za binadamu Jennifer Zeng alikuwa wa kwanza kutilia maanani tofauti hizo mpya za Rais Kim, iliripoti IBT.

"Je! Kim Jong-un alionekana Mei 1 ndiye wa kweli?"

Aliuliza kwenye Twitter pamoja na kulinganisha sura za Kim za zamani na mpya
katika machapisho mawili.

Screenshot_20210228-100642.png

Mchangiaji mwingine alisema kwamba
Kim alionekana tofauti kidogo" wakati wa kuonekana kwake hivi karibuni.

"Mtazamo wangu ni kwamba alikufa na nafasi yake ikachukuliwa na mtu mwingine, au alikuwa nje ya macho ya umma kwa muda mrefu basi alikuwa akipona kutokana kwa upasuaji (plastic Surgery,)"
alitweet

"Pua yake inaonekana kuwa mviringo zaidi, nywele zake zinaonekana pana, na alikuwa na, makunyanzi karibu na macho wakati alitabasamu,"

post hiyo iliongezwa

"Mstari wa nywele unaweza kuwa ukipungua tu kwa kukata nywele, lakini macho na pua ni Tofauti "

Ilielezwa hivyo

Raisi huyo wa Korea Kaskazini alijitokeza, kwenye kiwanda cha mbolea baada ya kutoweka kwa karibu wiki tatu na kuzua madai kwamba alikuwa amekufa.

Alionekana pamoja na dada yake Kim Yo-jong,

Wasiwasi juu ya afya yake ulianza wakati alishindwa kuonekana kwenye sherehe muhimu mnamo Aprili 15,2020 kuadhimisha siku ya kuzaliwa ya Kim Il-sung, babu yake na mwanzilishi mpambanaji wa Taifa hilo

Screenshot_20210228-100142.png

Akiendelea na uvumi huo, mwandishi wa habari wa China Shijian Xingzou alisema

"Kuna chanzo cha kuaminika kabisa " kilimwambia kiongozi wa Korea Kaskazini kim hali amekufa.

Screenshot_20210228-101504.png

Ni mtindo wa matukio ule ule wa kupotea na kurudi wakiwa tofauti
Rejelea Mandela Madiba na Muhammadu Buhari

Je ni kwamba RAISI KIM kawa CLONED yule wa mwanzo kafa ??

Au ni zils PLASTIC SURGERY zake Anazofanya Ili Afanane na Babu yake.??

DaVinci XV,
 
Attachments

  • Screenshot_20210228-100942.png
    Screenshot_20210228-100942.png
    120.1 KB · Views: 14
wako vizuri kwenye plastic surgery ukiangalia pua, sikio, nywele na makunyanzi kwenye macho ni tofauti na mwanzoni kabisa inaonekana iyo kazi imefanywa na profesional
Nchi Vinara wa Plastic Surgery Duniani

Ni South Korea na South Korea wakifuatiwa na Thailand ,,,, skendo za kusema kwamba Alikuwa anafanya Surgery awe Na muonekano wa babu yake ambaye ni mpigania huru na Muasisi wa Taifa
Hivyo surgery Korea si jambo la Ajabu

Ila huu utata Mpya ulipigiliwa msumari na wabunge wa huko kama kina bi Mench ndiyo unaoacha Midomo wazi
 
Wasaalam,

Uvumii huu uliibuka zaidi mwaka jana
Vyombo vya habari vya serikali vilitoa picha na video zikimuonyesha Raisi huyo wa korea kaskazini katika kiwanda cha mbolea ,
Huku wakati ule kukiwa na ripoti zinazozidi kuzagaa katika mitandao ya kijamii kuwa labda Huenda Raisi huyu alikuwa amekufa

View attachment 1714057
RAIS KIM JONG UN

Sasa wavuti mbalimbali zikatoa picha, tofauti tofauti zinaonyesha mabadiliko katika uso wake, nywele na meno ikilinganishwa na sura za zamani

Lakini kuna maoni kwamba baadhi ya picha kwa kweli zimetengenezwa

Drama hizi zilizuka baada ya Raisi huyu kijana kupotea kwa ajabu mwaka jana kwa siku 20 nadhani mnakumbuka mwaka jana swala hili Lilijadiliwa sana mitandaoni

Websleuths, walionyesha picha zenye tofauti kidogo kwenye pua ya Kim Jong-un , mikunjo ya uso, meno, Lips,Upunde wa nywele hapo kwenye Paji ,na masikio
Ambazo zilitofautiana kabisa na za zamani

Ikaonyeshwa kuwa pua yake ni mviringo kidogo tofauti na picha za mwanzo

Picha nyingine iliyoripotiwa inaonyesha meno ya Kim yakionekana tofauti na ya mwanzo.
Lakini wengine wakapinga na wakasema meno yaliyonyooka yanaweza kutengenezwa kwa urahisi tu.

View attachment 1714090

Wengine walimnasa kwenye nywele zake, ambazo zinaonekana kuwa na Upinde mpana katika picha za hivi karibuni , lakini ikapingwa ikasemwa hii inaweza kuwa kazi tu ya kinyozi mwenye ujuzi.

Kuna skendo nyingine pia kuhusu masikio yake kuwa tofauti
Lakini uvumi huo pia ulipingwa vikali

View attachment 1714060

Mnamo mwaka wa 2017, Sun Online walitoa picha za dikteta huyo akiwa kwenye majaribio ya kombora ambazo ni tofauti

Walakini, wengine wanaamini kwamba sahivi, muonekano huu umeonekana kwa sababu Kim halisi tayari amekufa na huyu wa sasa ni copy yake.

Mbunge wa zamani Louise Mensch alijiunga kwenye mjadala huo, na akatweet

"Meno, upinde wa midomo(lips,) na vingine ni Tofauti kabisa"

Aliongeza:

"Sio mtu yule yule. Lakini haitajadiliwa"

"Sijui ikiwa itatufaa kwenda pamoja, au laah, lakini hawa wawili hawafanani."

View attachment 1714063

Lakini Daily Mail inaripoti picha ambazo Bi Mench alishiriki zinaonekana kuwa si sahihi na mbaya

Ilikuwa inshu kubwa na madai yalikuja wakati kiongozi huyo wa Korea Kaskazini alipokosa tukio la hali ya juu ambalo Rais alitakiwa kuwepo

Hakuhudhuria wakati Urusi ilipompa medali ya kuashiria kumbukumbu ya miaka 75 ya ushindi dhidi ya mjerumani na Nazi.

UNAHISI NINI??

PICHA za Kim Jong-un zilizoachiliwa siku 20 baada ya kutoweka na kushangaza zimeibua uvumi

View attachment 1714066

Baadhi ya nadharia zinasema kuwa mara ilibidi iwe hivi kwa sababu ya afya mbaya ya kiongozi huyo, au hata anaweza kuwa amekufa kabisa ,wakati wengine walihoji ikiwa kutokuwepo kwake ni kipindi cha kusubiri kukaa fiti baada ya Plastic Surgery

Na kama Ujuavyo Rais huyu nguli, anaidaiwa kujibadilisha Sura ili afanane na Babu yake Mpambanaji wa Taifa

Na nchi hizi za Korea Kusini na Kaskazini ni vinara wa Plastic Surgery

View attachment 1714068

Mwanaharakati wa haki za binadamu Jennifer Zeng alikuwa wa kwanza kutilia maanani tofauti hizo mpya za Rais Kim, iliripoti IBT.

"Je! Kim Jong-un alionekana Mei 1 ndiye wa kweli?"

Aliuliza kwenye Twitter pamoja na kulinganisha sura za Kim za zamani na mpya
katika machapisho mawili.

View attachment 1714070

Mchangiaji mwingine alisema kwamba
Kim alionekana tofauti kidogo" wakati wa kuonekana kwake hivi karibuni.

"Mtazamo wangu ni kwamba alikufa na nafasi yake ikachukuliwa na mtu mwingine, au alikuwa nje ya macho ya umma kwa muda mrefu basi alikuwa akipona kutokana kwa upasuaji (plastic Surgery,)"
alitweet

"Pua yake inaonekana kuwa mviringo zaidi, nywele zake zinaonekana pana, na alikuwa na, makunyanzi karibu na macho wakati alitabasamu,"

post hiyo iliongezwa

"Mstari wa nywele unaweza kuwa ukipungua tu kwa kukata nywele, lakini macho na pua ni Tofauti "

Ilielezwa hivyo

Raisi huyo wa Korea Kaskazini alijitokeza, kwenye kiwanda cha mbolea baada ya kutoweka kwa karibu wiki tatu na kuzua madai kwamba alikuwa amekufa.

Alionekana pamoja na dada yake Kim Yo-jong,

Wasiwasi juu ya afya yake ulianza wakati alishindwa kuonekana kwenye sherehe muhimu mnamo Aprili 15,2020 kuadhimisha siku ya kuzaliwa ya Kim Il-sung, babu yake na mwanzilishi mpambanaji wa Taifa hilo

View attachment 1714072

Akiendelea na uvumi huo, mwandishi wa habari wa China Shijian Xingzou alisema

"Kuna chanzo cha kuaminika kabisa " kilimwambia kiongozi wa Korea Kaskazini kim hali amekufa.

View attachment 1714071

Ni mtindo wa matukio ule ule wa kupotea na kurudi wakiwa tofauti
Rejelea Mandela Madiba na Muhammadu Buhari

Je ni kwamba RAISI KIM kawa CLONED yule wa mwanzo kafa ??

Au ni zils PLASTIC SURGERY zake Anazofanya Ili Afanane na Babu yake.??

DaVinci XV,
Mkuu Vinci Ni kweli North Korea na advanced technology yao hawakuona hizo tofauti mapema kabla ya kumuachia huyo Kim fake hadharani? Lips na ears hazikuitaji hata surgery kubwa ili afanane na Kim original

Nafikiri Ni propaganda tu za Western
 
Nchi Vinara wa Plastic Surgery Duniani

Ni South Korea na South Korea wakifuatiwa na Thailand ,,,, skendo za kusema kwamba Alikuwa anafanya Surgery awe Na muonekano wa babu yake ambaye ni mpigania huru na Muasisi wa Taifa
Hivyo surgery Korea si jambo la Ajabu

Ila huu utata Mpya ulipigiliwa msumari na wabunge wa huko kama kina bi Mench ndiyo unaoacha Midomo wazi
inamaana indiaa na mmarekani awaingiii kwa south korea kwa upande wa kufanya plastic surger
 
Mkuu Vinci Ni kweli North Korea na advanced technology yao hawakuona hizo tofauti mapema kabla ya kumuachia huyo Kim fake hadharani? Lips na ears hazikuitaji hata surgery kubwa ili afanane na Kim original

Nafikiri Ni propaganda tu za Western
Lolote lawezekana mkuu

Lakini hatuna uhakika wa asilimia mia kwamba ni propaganda

Ni inshu zile zile za kina Muhammadu Buhari, na kina Eminem .....

Hata media za Western zilipangua Info hizo kuwa ni batili
 
Back
Top Bottom