Kim Jong Un ametokea kumuelewa sana Trump

Miki123

JF-Expert Member
Apr 27, 2018
288
502
Kuna vitu ambavyo huwezi kuamini kuwa kuna wema kim jung un anaweza kuufanya kwa raisi wa USA.
Lakin kwa rais Trump ni tofauti, inaonekana kim jung ametokea kumuelewa huyu jamaa tofauti na watu walivyodhani kwamba ingekuwepo ugomvi.
optimize

Baada ya Trump kugundulika kuwa na corona, Mwenyekiti kim ametuma barua ya masikitiko na kumtakia heri nakutumaini hali yake kutengemaa kwa haraka.
Barua ya Kiongozi wa korea kaskazini inasema,
Amesikia habari za kushtukiza kuhusu raisi trump na mkewe kukutwa na virusi vya corona, anatumai afya zao zitaimarika hivi karibuni.

Kim jong un asingetuma huu ujumbe kama rais angekuwa ni obama na majaribio ya makombora ndio ingekuwa habari kubwa lakini hivi sasa kim anaangazia maswala ya uchumi kwa kiasi kikubwa.
North Korean leader wishes Trump quick recovery from COVID-19
 
Back
Top Bottom