Kim Jong Un amepiga marufuku kusherehekea sikukuu ya Krismasi

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,252
Pyongyaung. Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un amepiga marufuku mikusanyiko inayoashiria kusherehekea sikukuu ya Krismasi kama vile inayohusu unywaji na uimbaji.

Ametaka wananchi kutosherehekea sikukuu hiyo na wanaopenda kufanya hivyo, waitumie Desemba 24 kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa bibi yake aliyezaliwa siku kama hiyo mwaka 1919.

Kiongozi huyo ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuhakikisha vinadhibiti mikusanyiko yote ambayo inaendana na maadhimisho ya Krismasi.

“Ni marufuku watu kukusanyika na kufanya mambo kama ya unywaji au kuimba katika sikukuu ya Krismasi,” chanzo kimoja cha habari kimenukuu taarifa ya kiongozi huyo.

Kim Jong Un amekuwa akichukua hatua kuzua kuenea kwa utamaduni kwa kigeni na amedhibiti vyombo vya habari kutotangaza taarifa zozote zinazoienzi sikukuu hiyo kama hatua ya kupiga marufuku Krismasi.

Ingawa sikukuu ya Krismasi si tukio kubwa nchini humo, lakini baadhi ya wananchi wamekuwa wakiisherekea na kufuata misingi ya Kikristo

Chanzo: Mwananchi
 
krisimas+pic.jpg

Kwa ufupi
Kim Jong Un ametaka Desemba 24 itumike kuadhimisha siku ya kuzaliwa bibi yake.

Pyongyaung. Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un amepiga marufuku mikusanyiko inayoashiria kusherehekea sikukuu ya Krismasi kama vile inayohusu unywaji na uimbaji.

Ametaka wananchi kutosherehekea sikukuu hiyo na wanaopenda kufanya hivyo, waitumie Desemba 24 kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa bibi yake aliyezaliwa siku kama hiyo mwaka 1919.

Kiongozi huyo ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuhakikisha vinadhibiti mikusanyiko yote ambayo inaendana na maadhimisho ya Krismasi.

“Ni marufuku watu kukusanyika na kufanya mambo kama ya unywaji au kuimba katika sikukuu ya Krismasi,” chanzo kimoja cha habari kimenukuu taarifa ya kiongozi huyo.

Kim Jong Un amekuwa akichukua hatua kuzua kuenea kwa utamaduni kwa kigeni na amedhibiti vyombo vya habari kutotangaza taarifa zozote zinazoienzi sikukuu hiyo kama hatua ya kupiga marufuku Krismasi.

Ingawa sikukuu ya Krismasi si tukio kubwa nchini humo, lakini baadhi ya wananchi wamekuwa wakiisherekea na kufuata misingi ya Kikristo.
 
0

Amri hii haina madhara kwa wacha Mungu. Ila kama katika sheria ya kulaizmisha birthday ya bibi yake, kuna mtazamo wa kuabudiwa huyo bibi yake, hiyo inashusha gadhabu ya Mungu kwake mwenye kutoa hiyo amuri.

Christimas haina uhusiano na Ukristo. Sana sana anawekeza kwenye social unpopularity ya kwake mwenyewe katika ya watu wake wanaooshangaa nini madhara ya kushereheka hyo siku.
 
Ndio mana wanajeshi wao wanakimbilia south korea. Nchi gani kila kitu ni marufuku.
 
Sijawahi kupenda sikuu yoyote ile japo nina imani yangu ila sikukuu naona kama ni mpango wa watu fulani kuendelea kuharibu akili za watu kwa kuwatia kwenye mamba yasiyo na msingi, "ila naheshimu wenzangu wakisheherehekea"
 
Ss Wenye dini unaona zinavyo tupumbaza mm namulewa sana japo wapo watakao toka povu
 
Back
Top Bottom